Mwenye ushahidi Mbowe kula ruzuku ama kupewa rushwa auweke hapa!

Mwenye ushahidi Mbowe kula ruzuku ama kupewa rushwa auweke hapa!

Ile nyumba yake kule machame inasema yote ila viwavi wa cdm watakuambia kuwa Mbowe ni mfanyabiashara ,cha kushangaza hata kule TRA twx return za mbowe ni ndogo saaana
Hueleweki ulitaka kusema nini...

Kuna shida mahali kwenye kufikiri kwako...
 
Unaona wanaCHADEMA wananung'unika jinsi Uongozi wa CDM ulivyokosa prorities.

wakipewa Nchi itakuwaje?

Mwishowe hata gari la Raisi liishiwe mafuta baraharani kama Helikopta.
Ukisoma comment za vijana wa ccm hapa, unagundua hawana ubongo ila wamejaza kamasi kichwani.
1. Hela ya ruzuku ni ya serikali na matumizi yake hukaguliwa na CAG (serikali).
1. Ripoti za ukaguzi za CAG, ziko wazi. Lini ccm ilipata hati safi?
3. Kama Mbowe amekula ruzuku (fedha ya umma), na CAG ni wenu, polisi ni wenu, mahakama na bunge mmetia mfukoni, kinachowazuia kumfunga Mbowe ni nini?
4. Huyu mjinga mwingine anasema mapato na matumizi ya Chadema yawekwe hapa, je, kwanini ya ccm yasiwekwe hapa ikawa mfano?
 
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.

Sema kweli ama kaa Kimya!!
Tukiweka utamfanyeje wakati kapewa ruhusa na samia
 
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.

Sema kweli ama kaa Kimya!!
Usiwasikilize CCM ni wajinga tupu, wanapokea 3B per month lakini wanategemea kuiba mali za umma ndiyo waendeshe shughuli za chama
 
Chama chako kinapokuwa na mgogoro mkubwa tena wa kikatiba kama huo wa wabunge 19 wa kuteuliwa bungeni haiwezi kuleta picha nzuri kuonekana nao mara mara au kushirikiana nao, Mbowe yeye katanguliza maslahi ya kanisa lake kwanza kuliko taswira yake ya kisiasa.
Kwani kanisa ni mali ya Mbowe?
 
Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.

Sema kweli ama kaa Kimya!!
Pesa ya mwanasiasa haitoki bure.

Juzi Mbowe alimpigia Samia simu, akatoa Milioni 500.

Tuambie makubaliano ni nini?
 
Back
Top Bottom