Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #61
Umeona nimejiita chawa ama wewe ndiyo unajiita chawa. Usitake wote tuwe chawa maana wengine tunajua kwamba chawa nje ya uchafu huwezi kumkuta.Sasa wewe chawa wa jizi hatuwezi elewana. Mimi ni mzalendo
Hili suala la jengo unaziita ni kelele za kijuha; ila bado unadhani CDM walitakiwa kuzifanyia kazi... huoni kuwa unajichanganya hapo. Kama ni za kijuha CDM wako sahihi kuzipuuza.Kwa hali yoyote CHADEMA hawakushindwa kujenga ofisi kubwa za chama chao za ghorofa hata 3 kama wangetaka, ila itakuwa tu hawakuona umuhimu wa kufanya hivyo jambo ambalo likikuwa kosa kubwa la kisiasa.
Ni kweli hakuna umuhimu kabisa wa vyama kumiliki majengo au kufanya biashara, kwa sababu havina tija yoyote katika kuongeza demokrasia ya nchi, utawala bora au maendeleo, zaidi sana vinaharibu demokrasia ndani ya vyama kwa kuzigeuza siasa kuwa ujasiriamili na kuzalisha career politicians wasioweza kufanya jambo lolote nje ya siasa.
Ila raia wengi hawana ufahamu huu, ilibidi tu CHADEMA wamiliki majengo mawili matatu kufuta hizi kelele za kijuha.
Umeshalewa tayari, kwanini unatuquote wote kwa jambo irrelevant?ficha wewe.
Alikuwa anataka kuonesha kuwa mawazo yenu yanafanana na yake.Umeshalewa tayari, kwanini unatuquote wote kwa jambo irrelevant?
Hili suala la jengo unaziita ni kelele za kijuha; ila bado unadhani CDM walitakiwa kuzifanyia kazi... huoni kuwa unajichanganya hapo. Kama ni za kijuha CDM wako sahihi kuzipuuza.
Mimi siamini kwa siasa za bongo hii kuwa na jengo Zuri kuna tija kwa chama na wananchi kwa ujumla. Chama kina changamoto nyingi zinazohitaji resources zaidi ya kuwa na jengo la ghorofa.
Wanachofanya CDM nawaunga mkono [emoji817] % jengo sio priority... wanahitaji kupanuka kwanza on grassroots level.
Hizi akili za kijuha tuziache huku huku kwenye mitandao hazina value kwa uhalisia.
Unamaanisha nini?Mbowe hawezi kuhongwa na Vyama Vya Upinzani
Ni wakati gani CHADEMA ilisema Lowassa ni fisadi na ufisadi wake ulikuwa nini!!??CHADEMA tulitegemea iwe tofauti. Sasa kama ilizunguka miaka 8 ikisema lowassa ni fisadi halafu baadaye ikasema si fisadi sasa ni vigumu kuamini kingine watakachosema maana ni vigumu kutofautisha ni wapi wanasema ukweli na wapi wanasema uongo.
Mbowe ni mtumishi wa SerikaliUnamaanisha nini?
Malengo ya chama iwe ni kwenye matured environment au lah ni kuwin ushawishi na kupata wafuasi wengi watakao weza kuwapigia kura ili washike hatamu.Siasa za bongo hazija mature kiasi cha wengi kuwelewa hakuna umuhimu chama kumiliki ofisi au biashara. Pia kumbuka sio kipindi kirefu ambacho tumetoka katika mfumo wa chama kimoja ambapo chama kilikuwa kinamiliki mali, kufanya biashara na kuwa sehemu ya uchumi, hiyo legacy bado ipo.
Kwani mlikuwa naye kwenye Kitengo ama ndiyo unarushia kichwa cha Nguruwe Kibla izuke tafrani??Mbowe ni mtumishi wa Serikali
Mkuu siwezi kuzunguka nchi nzima kufanya utafiti wa ofisi za cdm, ni wao walipaswa kuwa na website iliyo active waweke hizo habari humo. Lakini website ni kama imetelekezwa, Sasa hata kama website ambayo subscription na maintenance yake kwa mwaka haifiki 1m Iko hoi, Nina haja gani ya kufuatilia hayo mengine?Tindo Ofisi za CHADEMA zilizojengwa kwa nguvu za wanachama ziko nyingi za kutosha tu. fanya utafiti.
Lakini kimantiki Ofisi za CHADEMA zimepunguza kiasi gani ufanisi wa CHADEMA kujipambanua kwa wananchi??
Mkuu suala la tovuti sio jambo la ujana, Bali ni la kiofisi. Labda useme cdm inaendeshwa kwa utashi wa ujana.Tindo kuhusu Tovuti ya chama kwa kweli inasikitisha sana...
Suala siyo pesa ya kuiendesha bali vijana wa TEHAMA wanaona kama vile mambo ya Tovuti ni uzamani. wao wapo bize na Zoom, Thread, Whatsapp" Club House na X.
Unaweza kutuwekea hapa hivyo alivyokosea unavyovifahamu wewe ambavyo sisi wadau tunaweza kuvikubali ?Sio rahisi Mbowe kuhongwa ila kuna namna hakujua kupangilia vipaumbele na taswira yake vizuri kwa kadri ya mahitaji ya siasa za kibongo.
Huyo hanaga nongwa na Mbowe, ukitaka kujua Sukumar gang ambao hadi kesho wanashangaa kwanini Mbowe yupo hai hadi Leo ni hawa Idugunde Etwege Elitwege Kamanda AsiyechokaLucas mwashambwa njoo huku
Akuwekee wewe huo mchanganuo ili iweje?! Tunachojua hiyo akaunti huwa inakaguliwa na CAG na wala haijawahi kuwa hoja ya ukaguzi hata mara moja. Nyie machawa ndo mnajua mchanganuo zaidi ya CAG? Pelekeni huko.Unataka ushahidi upi? Anatakiwa atoe matumizi ya ruzuku aweke mchanganua wa hesabu tuone kutuambia tulete ushahidi wakati akaunti ya ruzuku yeye ndiyo anatoa pesa unataka twenda benki kuomba statement ?
Ile nyumba yake kule machame inasema yote ila viwavi wa cdm watakuambia kuwa Mbowe ni mfanyabiashara ,cha kushangaza hata kule TRA twx return za mbowe ni ndogo saaanaKama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.
Sema kweli ama kaa Kimya!!
Kwa hiyo unathibitisha huyo mwenyekiti wenu anaekaa hapo ikulu ndiye anaegawa rushwa?Umeishajiuliza kwa nini uwa anaenda Ikulu peke yake hataki kuongozana nq mtu?