Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #81
Hueleweki ulitaka kusema nini...Ile nyumba yake kule machame inasema yote ila viwavi wa cdm watakuambia kuwa Mbowe ni mfanyabiashara ,cha kushangaza hata kule TRA twx return za mbowe ni ndogo saaana
Ukisoma comment za vijana wa ccm hapa, unagundua hawana ubongo ila wamejaza kamasi kichwani.Unaona wanaCHADEMA wananung'unika jinsi Uongozi wa CDM ulivyokosa prorities.
wakipewa Nchi itakuwaje?
Mwishowe hata gari la Raisi liishiwe mafuta baraharani kama Helikopta.
wewe unaonqje?Kwa hiyo unathibitisha huyo mwenyekiti wenu anaekaa hapo ikulu ndiye anaegawa rushwa?
Tukiweka utamfanyeje wakati kapewa ruhusa na samiaKama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.
Sema kweli ama kaa Kimya!!
Usiwasikilize CCM ni wajinga tupu, wanapokea 3B per month lakini wanategemea kuiba mali za umma ndiyo waendeshe shughuli za chamaKama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.
Sema kweli ama kaa Kimya!!
Kwani kanisa ni mali ya Mbowe?Chama chako kinapokuwa na mgogoro mkubwa tena wa kikatiba kama huo wa wabunge 19 wa kuteuliwa bungeni haiwezi kuleta picha nzuri kuonekana nao mara mara au kushirikiana nao, Mbowe yeye katanguliza maslahi ya kanisa lake kwanza kuliko taswira yake ya kisiasa.
Ajuza unazeeka bila kuolewa na umezalishwa watoto watatu na baba tofauti tofautiMbowe ni jizi, jambazi, fisadi, tapeli, dikiteta n.k
Unaitwa nani eti???Ajuza unazeeka bila kuolewa na umezalishwa watoto watatu na baba tofauti tofauti
Unataka kuniloga?Unaitwa nani eti???
Nataka nikuroge uchawi wa kimachame chame utapike nyama hahahahahaUnataka kuniloga?
Basi sawaNataka nikuroge uchawi wa kimachame chame utapike nyama hahahahaha
Pesa ya mwanasiasa haitoki bure.Kama wewe una ushahidi kwamba Freeman Mbowe anakula Ruzuku za CHADEMA ama yeye binafsi au uongozi mzima wa CHADEMA yeye akiwa mwenyekiti wake, walipewa rushwa na CCM ili waache harakati za kuipigania Tanganyika na Zanzibar, uuweke hapa ili watanzania wote wauone.
Sema kweli ama kaa Kimya!!
Huu ni ujinga tuliojazwa watanzania na CCM!!Pesa ya mwanasiasa haitoki bure.
Juzi Mbowe alimpigia Samia simu, akatoa Milioni 500.
Tuambie makubaliano ni nini?
Sukule la Mbowe umefika.Huu ni ujinga tuliojazwa watanzania na CCM!!
Sawa sawaSukule la Mbowe umefika.
Too radicalised.