Uchaguzi 2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

Uchaguzi 2020 Mwenye ushahidi wa Dkt. Magufuli akimtaja Tundu Lissu kwenye kampeni zake tangu zilipoanza atuwekee hapa

Unajua ukimfanyia mtu kitendo kibaya huwezi kuwa na ujasiri wa kumtaja jina hata kuonana naye, hivyo Magufuli dhamira ndio inamtesa. Nothing else.
 
"Mwambie aachane na uraisi ambao hatashinda nitampa kazi ndogondogo nikiwa raisi", unayakumbuka maneno hayo alisema nani akiwa wapi
 
Amtaje mwendawazimu?ndo mana anavalisha kofia Kina nyuchi zuchi,maana watu walio na akili ndo hao vichaa kabisa bora zushu sijui.Si bora amtaje Pierre Likwid kuliko huyo.
Mtu kapelekwa matibabu kwenye Hajo kanchi Belgium anapiga makelele "Nimetembea kila mahali"
Nigga please hata huko ulienda kutibiwa wewe,wenzio tunaendaga huko kula kpomo na cassava,mbonu maana wakabila wote huko Anthwep wapo mpaka wanapika na moto wa kuni maana hawawezi kulipa bili ya Umeme hata gesi.
Mshamba mmoja hivi kafika hapo eti "nimetembea sana duniani"
Dunia gani?hakumbuki juzi tu kabla ya korona kuna wauaji waarabu walitoka huko wakafanya ukhanisi wao France Arena wakakimbia kurudi huko na wengine walikula shaba njiani wakikimbia,
Ndio mitaa aliyokaa huyu mgombea urais wa hiyo saccos na ugali vibawa aliopikiwa na wenyeji wake then kujiona anaweza kuwa rais.
Labda rais wa pumba na mashudu,hata mbuzi huwezi kuongoza,Magu yupo tu na miaka mi5 anakula,nyie kwanza mmalize bifu lenu la kodi kwenye kibanda hicho cha kufuga kuku hapo mkwepu st.hata ruzuku hamstahili
We jamaa una hasira dhidi ya Lissu utadhani kakukata mkono wa Sweta bila ganzi bila Shaka Una hasira na uhai wake uloshindwa kuutoa Kwa risasi pale Area D Dodoma na Unaonekana kumwogopa Sana Lissu kwani unauona mwisho wako mbaya Lissu akiwa rais.

Unajihisi kuwa salama kama huyu SHETANI mwenzio akiwa rais, Kwa taarifa yako Lissu ndiye rais tunajua ulishiriki Kwa kutumwa na huyo unaemshabikia kuondoa haki ya kuishi ya Lissu Mungu akawagomea na sasa ndiye rais ajae lazima uvune ulichopanda huwezi panda magugu halafu utegemee mpunga.

Utawala huu wa SHETANI lazima tuuteketeze tunawaambia kinagaubaga ili mjue na Hamna cha kufanya labda ujinyonge na huyo SHETANI mkuu kampe taarifa, sasa hivi mmeshikwa pabaya lakini muda si mrefu mtabanwa pabaya.
 
Unawezaje kumtaja mtu uliyetaka kumuua kikatili, ulipogundua hajafa ukamnyima haki zote ili afe, ukahakikisha unatega wauaji kila Kona ya maisha yake, Kwa uwezo wa mwenyezi Mungu akafufuka kutoka Kwa wafu mbaya zaidi anagombea dhidi yako tena anakubalika Ile mbaya.

Anakusanya nyomi Ile mbaya bila kusomba wala kuhonga watu. Wewe unasomba watu hadi na malori ya kubebea ng'ombe, power tiller, matrekta, mafuso, mikokoteni ya ng'ombe, kulazimisha wanavyuo kuhudhuria, kufunga shule hadi za chekechea ili wahudhurie hongo juu, umewakusanya wachawi, waganga, wataalamu wa nyota, majambazi, wasanii wote, mamisi, watu maarufu lakini bado hukubaliki.

UTAANZIA WAPI KUMTAJA LISSU?
 
Magufuli Hana uwezo wa kumwangalia Lissu machoni ikitokea wakawa karibu it is a function of karma.
 
Ni kosa kumtaja mpinzani wako ambaye unadhani hajafanya kazi inavyotakiwa..., ukizingatia huyo mpinzani alipewa dhamana ya miaka mitano wakati wewe hukupewa? Bila kusema makosa yaliyofanyika na kwamba wewe utarekebisha, hizo zitakuwa ni kampeni au maigizo?
 
Au unataka awe mnafiki aseme "Kuna mgombea alikula rambi rambi za Kagera"?
Huu unafiki ndio unatufanya tuonekane wa ajabu sana. Sikiliza vipindi vyetu vya radio au television wakiongelea uchaguzi kwa mfano, lazima uboreke maana kila dakika watakuambia mgombea mmoja kasema au kafanya lakini ng'o hawamtaji. Wanaposifia na kuimba mapambio ndio mtu anatajwa lakini sio kwenye kukosoa.Huwa napenda kusikiliza kipindi cha Kenya NTV kila juma pili cha This Week in Politics-pale ukiwa na yako wanakupasha na hawajali awe Kenya, DP Ruto, Odinga etc.
Hata hicho kinachoitwa matusi ki ukweli ni njia ya kufifisha mashambulizi zidi ya watu fulani. Lakini hata siku moja hutasikia tusi hilo ni lipi.
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Ni kweli kabisa na hii ni kwa sababu amekosa hoja za msingi za kuwaeleza watanzania na badala yake ni porojo tu na kubeba matakwa ya watu wengine tumwambie wazi yakwamba anapotea stole aliko aungane na ccm uijenge tanzania ya kisasa
 
We jamaa una hasira dhidi ya Lissu utadhani kakukata mkono wa Sweta bila ganzi bila Shaka Una hasira na uhai wake uloshindwa kuutoa Kwa risasi pale Area D Dodoma na Unaonekana kumwogopa Sana Lissu kwani unauona mwisho wako mbaya Lissu akiwa rais.

Unajihisi kuwa salama kama huyu SHETANI mwenzio akiwa rais, Kwa taarifa yako Lissu ndiye rais tunajua ulishiriki Kwa kutumwa na huyo unaemshabikia kuondoa haki ya kuishi ya Lissu Mungu akawagomea na sasa ndiye rais ajae lazima uvune ulichopanda huwezi panda magugu halafu utegemee mpunga.

Utawala huu wa SHETANI lazima tuuteketeze tunawaambia kinagaubaga ili mjue na Hamna cha kufanya labda ujinyonge na huyo SHETANI mkuu kampe taarifa, sasa hivi mmeshikwa pabaya lakini muda si mrefu mtabanwa pabaya.
we unajiita konyola ukirudi nyuma ya jina lako ni lanyoko,usilete matusi lete hoja tu lanyoko wewe Lissu mmemuumiza wenyewe mumtumie kama mtaji sasa.
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Jiwe akisikia Jina Lissu anatetemeka
Hutoka umsikie akilitaja hadharani hata siku moja
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Mgonjwa wewe unawaza nn.. kushindwa au! Mgombea wako kachoka yuko mapumziko na drip 3
 
JPM hawezi kufanya kosa Kama Hilo...Lissu atamtaja Magufuli kwa jina Hilo na hawezi kusema Rais Magufuli au Mhe. Magufuli...ni kielelexo Cha ujeuri na kiburi...Marekani kwenye kampeni utamsikua Biden anamuaddress mwenzie Kama Mr. President...au President Trump...

Lissu hamweheshimu JPM ndio maana huwezi kusikia Lissu anatamka Rais Magufuli...

Lissu haheshimu mamlaka..
Lissu anaona yeye no mkombozi...yaani kuikomboa nchi hii na kuiweka mikononi mwa mabeberu...
 
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Uko sahihi kabisa, Magufuli hawezi kumtaja Lissu kwasababu Lissu hana kashfa kama yeye. Nikifikiria Mayanga, Chato Airport, Dotto James n.k. nafikiria pia Magufuli.
 
Who are u??
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.

Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.

Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
 
Tangu lini NURU (Tundu Lissu) na GIZA (Magufuli) vikachangamana na kuwa kitu kimoja?

Je, shetani anaweza kulitaja jina la YESU KRISTO? Thubutu. Ataungua moto bila huruma...

Na hivi itawezejanaje? Kwamba, mtu uliyemtandika risasi 16 za bunduki aina ya AK47 na SMG halafu akafa na baadaye kufufuka, utapata wapi ujasiri wa kulitaja jina lake tu achilia mbali kukaa naye meza moja mnywe chai??

Kama unataka kujua kuwa hili haliwezekani, muulize shetani aliyewaingia watawala wa Kiyahudi na Kirumi kumshtaki Yesu Kristo kwa uongo, wakamhukumu kumsulubisha msalabani mpaka akafa, wakamzika na baadaye akafufuka na kuwatokea akiwa hai....

Waulize hao watawala wa Kiyahudi na Kirumi kama wana ujasiri wa achilia mbali kutaja jina lake tu bali wa hata kumtazama tu. Hawawezi kama ambavyo huyu mzee hataweza kamwe....!!

Hii ni asili ya kawaida, kwamba, shetani kamwe hawezi kulitamka jina la Yesu Kristo kwa sababu hiyo ni NURU na GIZA...

TUNDU LISSU ni NURU na MAGUFULI ni GIZA. Nuru na Giza havichanganani kamwe...!!
 
Back
Top Bottom