Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa una hasira dhidi ya Lissu utadhani kakukata mkono wa Sweta bila ganzi bila Shaka Una hasira na uhai wake uloshindwa kuutoa Kwa risasi pale Area D Dodoma na Unaonekana kumwogopa Sana Lissu kwani unauona mwisho wako mbaya Lissu akiwa rais.Amtaje mwendawazimu?ndo mana anavalisha kofia Kina nyuchi zuchi,maana watu walio na akili ndo hao vichaa kabisa bora zushu sijui.Si bora amtaje Pierre Likwid kuliko huyo.
Mtu kapelekwa matibabu kwenye Hajo kanchi Belgium anapiga makelele "Nimetembea kila mahali"
Nigga please hata huko ulienda kutibiwa wewe,wenzio tunaendaga huko kula kpomo na cassava,mbonu maana wakabila wote huko Anthwep wapo mpaka wanapika na moto wa kuni maana hawawezi kulipa bili ya Umeme hata gesi.
Mshamba mmoja hivi kafika hapo eti "nimetembea sana duniani"
Dunia gani?hakumbuki juzi tu kabla ya korona kuna wauaji waarabu walitoka huko wakafanya ukhanisi wao France Arena wakakimbia kurudi huko na wengine walikula shaba njiani wakikimbia,
Ndio mitaa aliyokaa huyu mgombea urais wa hiyo saccos na ugali vibawa aliopikiwa na wenyeji wake then kujiona anaweza kuwa rais.
Labda rais wa pumba na mashudu,hata mbuzi huwezi kuongoza,Magu yupo tu na miaka mi5 anakula,nyie kwanza mmalize bifu lenu la kodi kwenye kibanda hicho cha kufuga kuku hapo mkwepu st.hata ruzuku hamstahili
Huu unafiki ndio unatufanya tuonekane wa ajabu sana. Sikiliza vipindi vyetu vya radio au television wakiongelea uchaguzi kwa mfano, lazima uboreke maana kila dakika watakuambia mgombea mmoja kasema au kafanya lakini ng'o hawamtaji. Wanaposifia na kuimba mapambio ndio mtu anatajwa lakini sio kwenye kukosoa.Huwa napenda kusikiliza kipindi cha Kenya NTV kila juma pili cha This Week in Politics-pale ukiwa na yako wanakupasha na hawajali awe Kenya, DP Ruto, Odinga etc.Au unataka awe mnafiki aseme "Kuna mgombea alikula rambi rambi za Kagera"?
Ni kweli kabisa na hii ni kwa sababu amekosa hoja za msingi za kuwaeleza watanzania na badala yake ni porojo tu na kubeba matakwa ya watu wengine tumwambie wazi yakwamba anapotea stole aliko aungane na ccm uijenge tanzania ya kisasaTunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
we unajiita konyola ukirudi nyuma ya jina lako ni lanyoko,usilete matusi lete hoja tu lanyoko wewe Lissu mmemuumiza wenyewe mumtumie kama mtaji sasa.We jamaa una hasira dhidi ya Lissu utadhani kakukata mkono wa Sweta bila ganzi bila Shaka Una hasira na uhai wake uloshindwa kuutoa Kwa risasi pale Area D Dodoma na Unaonekana kumwogopa Sana Lissu kwani unauona mwisho wako mbaya Lissu akiwa rais.
Unajihisi kuwa salama kama huyu SHETANI mwenzio akiwa rais, Kwa taarifa yako Lissu ndiye rais tunajua ulishiriki Kwa kutumwa na huyo unaemshabikia kuondoa haki ya kuishi ya Lissu Mungu akawagomea na sasa ndiye rais ajae lazima uvune ulichopanda huwezi panda magugu halafu utegemee mpunga.
Utawala huu wa SHETANI lazima tuuteketeze tunawaambia kinagaubaga ili mjue na Hamna cha kufanya labda ujinyonge na huyo SHETANI mkuu kampe taarifa, sasa hivi mmeshikwa pabaya lakini muda si mrefu mtabanwa pabaya.
Jiwe akisikia Jina Lissu anatetemekaTunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Mgonjwa wewe unawaza nn.. kushindwa au! Mgombea wako kachoka yuko mapumziko na drip 3Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Ibrahim LipumbaMama Samia anavyosema askari wao hawawezi kumkosa mtu kwa risasi tatu anamaanisha nani?
Uko sahihi kabisa, Magufuli hawezi kumtaja Lissu kwasababu Lissu hana kashfa kama yeye. Nikifikiria Mayanga, Chato Airport, Dotto James n.k. nafikiria pia Magufuli.Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.
Tunashuhudia kampeni za mgombea urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu kila anapopanda jukwaani lazima atamtaja Magufuli kwa jambo lolote lile kwa kifupi kipaumbele cha kwanza kwenye hotuba za Tundu Lissu ni Dkt. Magufuli.
Sasa tunaomba mwenye ushahidi wa JPM akimtaja Tundu Lissu mahala popote pale kwenye kampeni zake basi atuwekee hapa.
Naamini humu JF kuna watu wenye akili kubwa wanaweza kuwa na ushahidi watusaidie hapa.