Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanaheshimiana sana. Wanaachana glass za maji mezani.Mbowe na Lissu hawatagombana Ng’o
Kwa sababu wao huwa hawadanganyiki 👁😳
SuguViongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi.
Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni nani miongni mwao ana ushawishi mkubwa, anaamunika na anakubalika kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kwa sasa ndani na nje ya CHADEMA?🐒
Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi.
Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni nani miongni mwao ana ushawishi mkubwa, anaamunika na anakubalika kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kwa sasa ndani na nje ya CHAs
Wewe huwa ni mtu objective sana ila hili umeliweka hapa ukitaka kuwachonganisha wafuasi wa CDM,km watakuja kuchagua upande nitawashangaa sana.umenena vyema gentleman 🐒
Kabisa comrade, na hiyo ndiyo sera yetu huku Lumumbakuna watu katika siasa, hawawezi kuishi maisha ya kisiasa nje ya ruzuku na kuchangiwa wewe 🐒
Kila goti litapigwa.....mtakubali tu.Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi.
Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni nani miongni mwao ana ushawishi mkubwa, anaamunika na anakubalika kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kwa sasa ndani na nje ya CHADEMA?🐒
hapana si hivyo, ila pia inaweza kueleweka hivyo kwa upande moja, kwa kwenye vision kubwa na ya mbali kisiasa, na sio kosa hata kidogo....Wewe huwa ni mtu objective sana ila hili umeliweka hapa ukitaka kuwachonganisha wafuasi wa CDM,km watakuja kuchagua upande nitawashangaa sana.

Naomba nisieneeleze mjadala huu nipo kuiombea nchi yangu niipendayo na nchi iliyobarukiwa kuliko zote Tanzania.Tukiwa hai au tukiwa wafu Mungu anatenda kwa wakati na kwa nchi hii hili halipo mbali,tupo magotini kuomba rehemahapana si hivyo, ila pia inaweza kueleweka hivyo kwa upande moja, kwa kwenye vision kubwa na ya mbali kisiasa, na sio kosa hata kidogo....
ni bayana kuna ushindani kwa mafahali hawa wawili kuwin large surpot kwa memberz ndabi ya wanachama wao,
mathalani kwenye mchango wa gari la lisu kuna mabishano makali sana. Upande moja kukubali kuchangia na upande mwingine kupinga na kugoma kuchangia gari hilo kwa sasababu zao....,
kama visionary politician na mtafiti,
nisingekubali hili lipite bila kujiridhisha zaid, kulifahamu na kulielewa kiundani zaid jambo hili muhimu kisiasa, japo kwa kiasi fulani, kutoshana nguvu kunaonekana bayana kutokana na matokeo ya michango ya gari la lisu mpaka sasa
pangekua hapana ushindani,
kukusanya milioni mia1 au2 ingekua ni suala lisilozidi siku moja, kwa idadi ya zaidi ya wanachama zaid ya milioni 20 wanaotajwa kua ni wa chadema nchi nzima na chadema yenyewe, achilia mabali wasio wanachadema....![]()
kwanza tujadili miaka 60 baada ya uhuru kwann watu bado wanakunywa maji YA TOPE?sorry kamanda wa kikosi cha mwamba wa kaskazini, kwan umepanic?🐒
huo si uzi kamili kabisa kamanda? udevelope tu kidogo uwe na mantik then tafuta platfom tujadili...kwanza tujadili miaka 60 baada ya uhuru kwann watu bado wanakunywa maji YA TOPE?
Mwenyez Mungu Akubariki sana gentlemanNaomba nisieneeleze mjadala huu nipo kuiombea nchi yangu niipendayo na nchi iliyobarukiwa kuliko zote Tanzania.Tukiwa hai au tukiwa wafu Mungu anatenda kwa wakati na kwa nchi hii hili halipo mbali,tupo magotini kuomba rehema

Kila napoomba Mungu hunikumbusha kuomba rehema kwa nchi yangu sijui kwanini,kila napoomba yangu hunipa lkn mara zote ameniagiza hili mwanzoni niliuona km mzigo san,kwasasa naifurahia,nikusihi nawe pia kuiombea rehema nchi yetuMwenyez Mungu Akubariki sana gentleman![]()
Aimen mtumishi 🙏Kila napoomba Mungu hunikumbusha kuomba rehema kwa nchi yangu sijui kwanini,kila napoomba yangu hunipa lkn mara zote ameniagiza hili mwanzoni niliuona km mzigo san,kwasasa naifurahia,nikusihi nawe pia kuiombea rehema nchi yetu
mvuto tena kamanda? 🐒Kwangu mwenye mvuto zaidi yaani naposema namaanisha na huwa sina unafiki katika hilo
Narudia tena kati ya hao wawili mwenye ushawishi zaidi kwangu ni huyo ambaye nimekuwa nikimtaja siku zote naye si mwingine ni huyo huyo ambaye ni CHADEMA
Asanteni.