Mwenye ushawishi mkubwa kisiasa CHADEMA

Mwenye ushawishi mkubwa kisiasa CHADEMA

Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi.

Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni nani miongni mwao ana ushawishi mkubwa, anaamunika na anakubalika kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kwa sasa ndani na nje ya CHADEMA?🐒
Sugu
 
Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni nani miongni mwao ana ushawishi mkubwa, anaamunika na anakubalika kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kwa sasa ndani na nje ya CHAs

umenena vyema gentleman 🐒
Wewe huwa ni mtu objective sana ila hili umeliweka hapa ukitaka kuwachonganisha wafuasi wa CDM,km watakuja kuchagua upande nitawashangaa sana.
 
Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi.

Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni nani miongni mwao ana ushawishi mkubwa, anaamunika na anakubalika kwa kiasi kikubwa kwa wananchi kwa sasa ndani na nje ya CHADEMA?🐒
Kila goti litapigwa.....mtakubali tu.
 
Wewe huwa ni mtu objective sana ila hili umeliweka hapa ukitaka kuwachonganisha wafuasi wa CDM,km watakuja kuchagua upande nitawashangaa sana.
hapana si hivyo, ila pia inaweza kueleweka hivyo kwa upande moja, kwa kwenye vision kubwa na ya mbali kisiasa, na sio kosa hata kidogo....

ni bayana kuna ushindani kwa mafahali hawa wawili kuwin large surpot kwa memberz ndabi ya wanachama wao,
mathalani kwenye mchango wa gari la lisu kuna mabishano makali sana. Upande moja kukubali kuchangia na upande mwingine kupinga na kugoma kuchangia gari hilo kwa sasababu zao....,

kama visionary politician na mtafiti,
nisingekubali hili lipite bila kujiridhisha zaid, kulifahamu na kulielewa kiundani zaid jambo hili muhimu kisiasa, japo kwa kiasi fulani, kutoshana nguvu kunaonekana bayana kutokana na matokeo ya michango ya gari la lisu mpaka sasa :spandauB:

pangekua hapana ushindani,
kukusanya milioni mia1 au2 ingekua ni suala lisilozidi siku moja, kwa idadi ya zaidi ya wanachama zaid ya milioni 20 wanaotajwa kua ni wa chadema nchi nzima na chadema yenyewe, achilia mabali wasio wanachadema....:whatBlink:
 
Naomba nisieneeleze mjadala huu nipo kuiombea nchi yangu niipendayo na nchi iliyobarukiwa kuliko zote Tanzania.Tukiwa hai au tukiwa wafu Mungu anatenda kwa wakati na kwa nchi hii hili halipo mbali,tupo magotini kuomba rehema
 
kwanza tujadili miaka 60 baada ya uhuru kwann watu bado wanakunywa maji YA TOPE?
huo si uzi kamili kabisa kamanda? udevelope tu kidogo uwe na mantik then tafuta platfom tujadili...

back to the main motion on the table,
bonestly,
ni yupi mwanasiasa mwenye ushawishi kumzidi mwingine pale chadema kwa mfano?
 
Naomba nisieneeleze mjadala huu nipo kuiombea nchi yangu niipendayo na nchi iliyobarukiwa kuliko zote Tanzania.Tukiwa hai au tukiwa wafu Mungu anatenda kwa wakati na kwa nchi hii hili halipo mbali,tupo magotini kuomba rehema
Mwenyez Mungu Akubariki sana gentleman :BASED:
 
Kila napoomba Mungu hunikumbusha kuomba rehema kwa nchi yangu sijui kwanini,kila napoomba yangu hunipa lkn mara zote ameniagiza hili mwanzoni niliuona km mzigo san,kwasasa naifurahia,nikusihi nawe pia kuiombea rehema nchi yetu
 
Kwangu mwenye mvuto zaidi yaani naposema namaanisha na huwa sina unafiki katika hilo

Narudia tena kati ya hao wawili mwenye ushawishi zaidi kwangu ni huyo ambaye nimekuwa nikimtaja siku zote naye si mwingine ni huyo huyo ambaye ni CHADEMA

Asanteni.
 
Aimen mtumishi 🙏

kwa Neema na Baraka za Mungu, na ikawe hivyo, kwangu na kwa waTanzania wote, ili hatimae Mama Tanzania andelee daima kua na amani, utulivu, upendo na utangamano miongoni mwa wote waishio ndani yake 🐒
 
Kwangu mwenye mvuto zaidi yaani naposema namaanisha na huwa sina unafiki katika hilo

Narudia tena kati ya hao wawili mwenye ushawishi zaidi kwangu ni huyo ambaye nimekuwa nikimtaja siku zote naye si mwingine ni huyo huyo ambaye ni CHADEMA

Asanteni.
mvuto tena kamanda? 🐒
 
Back
Top Bottom