BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Lisu anakusanya Kodi? Yule Mama tu anaye kusanya kidi, ukit9a kuuza nchi na matumizi ya anasa nini kingine anajua?;Hana ser
Hana sera, mpigaji tu huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu anakusanya Kodi? Yule Mama tu anaye kusanya kidi, ukit9a kuuza nchi na matumizi ya anasa nini kingine anajua?;Hana ser
Hana sera, mpigaji tu huyo.
Hata kama kwani anakusanya Kodi?Kitaaluma siyo Mwana Uchumi!
Mwalimu anayekufundisha darasani, anasaidieje kuondoa umaskini wako?..... Use a brain kidogoNa hao wanaozungumzia kukuza uchumi wamesaidia kwa kiasi gani kukuza uchumi?
Kwa hiyo ulitaka ajue yote?Kwani ni Yesu huyo?Lissu anadhani yuko kwenye darasa anafundisha sheria. Nje ya sheria Lissu ni mweupe kabisa.
Ukichanganya na vihotuba vyake vya kishankupe
Angeweka ya kizimkazi pia akiongela kuukabili utekajiUmemsahau yule aliyesema "Rais Yuko ofisini anachapa kazi na anawasalimuni nyote"
Kwa akili yako mpaka ataje neno "uchumi" ndipo ujue amezungumzia uchumi wewe unayotumia brain? Mara ngapi anazungumzia "rushwa" na matumizi mabaya ya madaraka na resources - ambayo essentially ni good governance, fair distribution and good management of resources? Sasa unahitaji uchumi gani beyond: good governance, fair distribution and good management of resources?Mwalimu anayekufundisha darasani, anasaidieje kuondoa umaskini wako?..... Use a brain kidogo
Maendeleo hayaji kwa kuyazungumzia, ccm wameyazungumza kwa miaka 60,lakini mpaka Leo bado tunaomba msaada wa, kujengewa matundu ya vyoo!ma ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.
Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
Umetoa shule Bomba sanaHebu weka CV yako hapa na mimi niweke ya kwangu, halafu watu wataamua nani kati yangu na wewe ni mjinga. Kwa nini usijikite tu kwenye kujadili hoja mpaka umshambulie mchangiaji mwingine? Ulisoma shule gani hiyo ambayo haijakusaidia kuelimika, au ni wale mnaofanyiwa mitihani na research? Kwa hiyo, kwako wewe akishasema tu "uchumi" kwenye hotuba yako ndiyo umeongelea uchumi? Hoja yako ni sawa na wale wanaosema "wananchi hawahitaji Katiba mpya, wanahitaji maji na maendeleo." Yaani wanaona katika haihusiki na maji na maendeleo, kama wewe unavyoona "rushwa" haihusiani na uchumi. This means your concept of 'uchumi' is very narrow. Sasa usipodhibiti vitendo vya rushwa (corruption) unajenga uchumi wa aina gani huo? Taja nchi mojawapo iliyoendelea (yenye maendeleo makubwa), na wakati huo huo ina entertain vitendo vya rushwa. Labda tuanzie hapo.
Kwahiyo tuzungumzie au tuache kuzungumzia uchumi?Na hao wanaozungumzia kukuza uchumi wamesaidia kwa kiasi gani kukuza uchumi?
Katika watu wapumbavu wewe ndiye kinara! Siasa inahusu maisha ya watu! Kama watu hawana uhuru, hawathaminiwi na hawapewi haki yao hawawezi kupata maendeleo ya kiuchumi. Siasa bora ni msingi wa maendeleo!Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.
Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
Kamwe haiwezi kutokeaShida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote.
Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara!
Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80% uchumi.
Lisu anataka mshinde mkiongelea tu umasikini ila mkichukua hatua za kuondoa umasikini anapinga tena
sawaTutajie sheria inayoruhusu vitendo vya rushwa