Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa .
Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa Bwana Ntobi .
Amesema ya kuwa walimpatia Lissu nafasi ya kugombea Urais Mwaka 2020 kwa sababu alikuwa na Uwezo wa kuropoka dhidi ya Mgombea wa CCM Wa wakati Huo Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
Amesema ya kuwa lakini pamoja na kuwa walimpa nafasi hiyo ya kugombea Urais lakini walijua kuwa hana uwezo wa kuongoza wala kupanga haya mipango ya mtaa tu.na kwamba shughuli zote na mipango yote ingesimamiwa na chama.
Nadhani hapa wana CHADEMA wanajibu lile swali ambalo lilikuwa linaulizwa kuwa kwanini Lissu alisimamishwa kugombea Urais kwa niaba ya CHADEMA wakati hana uwezo wa kuongoza.
Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa hili na kusalia madarakani mpaka Mwisho wa Dunia.Maana watanzania wamepata majibu kuwa upinzani husimamisha wagombea ambao hata wenyewe wanajua ya kuwa hawana uwezo wa kuongoza wala kupanga mipango hata ya mtaa tu.hivyo itakuwa ni ngumu sana kwa watanzania kupoteza muda wao kupanga foleni kuwapigia kura wagombea wa upinzani.badala yake wataendelea kuwapigia kura wagombea wa CCM tu Daima.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.