Mwenyeketi wa CHADEMA Mkoa Asema walimpa Lissu Nafasi ya Kugombea Urais Kwa sababu Alikuwa anaweza kuropoka dhidi ya Hayati Magufuli Lakini hana uwezo

Kama amekosa maneno ya kusema kuhusu mgombea asiyemtaka, bora akae kimya. Namna hiyo ni kukivuruga chama chake.
 
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa .

Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa Bwana Ntobi .

Amesema ya kuwa walimpatia Lissu nafasi ya kugombea Urais Mwaka 2020 kwa sababu alikuwa na Uwezo wa kuropoka dhidi ya Mgombea wa CCM Wa wakati Huo Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli.

Amesema ya kuwa lakini pamoja na kuwa walimpa nafasi hiyo ya kugombea Urais lakini walijua kuwa hana uwezo wa kuongoza wala kupanga haya mipango ya mtaa tu.na kwamba shughuli zote na mipango yote ingesimamiwa na chama.

Nadhani hapa wana CHADEMA wanajibu lile swali ambalo lilikuwa linaulizwa kuwa kwanini Lissu alisimamishwa kugombea Urais kwa niaba ya CHADEMA wakati hana uwezo wa kuongoza.

Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa hili na kusalia madarakani mpaka Mwisho wa Dunia.Maana watanzania wamepata majibu kuwa upinzani husimamisha wagombea ambao hata wenyewe wanajua ya kuwa hawana uwezo wa kuongoza wala kupanga mipango hata ya mtaa tu.hivyo itakuwa ni ngumu sana kwa watanzania kupoteza muda wao kupanga foleni kuwapigia kura wagombea wa upinzani.badala yake wataendelea kuwapigia kura wagombea wa CCM tu Daima.View attachment 3180416

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anadhani anamkomoa Lisu kumbe anaonyesha dharau ya kiwango cha lami kwa wapiga kura. Anatukana zaidi ya watu milioni 4 waliompigia kura Lisu. Hawa wajinga walikua na haki ya KUSHINDWA kwenye uchaguzi wa s/mitaa. Mwakani pia wabunge na madiwani wapate 0.000000001 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa lugha aliyotumia kwa ccm kamati ya maadili ingemuhusu, Kwa nn asijenge hoja za maana akaacha kejeli?
 
Mbowe ni lazima atashinda uchaguzi huu kwa kishindo sana. Lakini pia tegemee kuona lissu akihama chama baada ya Kumalizika kwa uchaguzi na yeye kuwa ameangukia pua.
Naomba ushahidi wa sauti ya Mbowe akisema kuwa anagombea uenyekiti wa CDM Taifa, tafadhali sana kama una japo chembe ya ubinadamu timamu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa .

Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa Bwana Ntobi .

Amesema ya kuwa walimpatia Lissu nafasi ya kugombea Urais Mwaka 2020 kwa sababu alikuwa na Uwezo wa kuropoka dhidi ya Mgombea wa CCM Wa wakati Huo Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli.

Amesema ya kuwa lakini pamoja na kuwa walimpa nafasi hiyo ya kugombea Urais lakini walijua kuwa hana uwezo wa kuongoza wala kupanga haya mipango ya mtaa tu.na kwamba shughuli zote na mipango yote ingesimamiwa na chama.

Nadhani hapa wana CHADEMA wanajibu lile swali ambalo lilikuwa linaulizwa kuwa kwanini Lissu alisimamishwa kugombea Urais kwa niaba ya CHADEMA wakati hana uwezo wa kuongoza.

Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa hili na kusalia madarakani mpaka Mwisho wa Dunia.Maana watanzania wamepata majibu kuwa upinzani husimamisha wagombea ambao hata wenyewe wanajua ya kuwa hawana uwezo wa kuongoza wala kupanga mipango hata ya mtaa tu.hivyo itakuwa ni ngumu sana kwa watanzania kupoteza muda wao kupanga foleni kuwapigia kura wagombea wa upinzani.badala yake wataendelea kuwapigia kura wagombea wa CCM tu Daima.View attachment 3180416

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ni John mlema?
 
Amesema ya kuwa walimpatia Lissu nafasi ya kugombea Urais Mwaka 2020 kwa sababu alikuwa na Uwezo wa kuropoka dhidi ya Mgombea wa CCM Wa wakati Huo Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
  1. Binafsi naona yeye Mwenyekiti ndiyo mropokaji
  2. Kama huo ndiyo ulikwa mtazamo basi inaakisi hao viongozi ni wababaishaji ni kama waliosema watampa ajira mke wa marehemu ili atunze watoto
 
Back
Top Bottom