antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Ukiona mgombea anapingwa sana na machawa wa chama hasimu, ujue tu kuwa huyo ndo anafaa zaidi.Amesema ya kuwa lakini pamoja na kuwa walimpa nafasi hiyo ya kugombea Urais lakini walijua kuwa hana uwezo wa kuongoza wala kupanga haya mipango ya mtaa tu.na kwamba shughuli zote na mipango yote ingesimamiwa na chama.
Watamaliza uchaguzi wakiwa wamegawanyika sana na hawataweza kuyaponya na kuyatibu Majeraha na madonda ya uchaguzi .Wengi watahama CHADEMA na kuhamia CCMNakuchukia sana na mabandiko yako ya kichawa ila kwa usawa huu CCM haina mpinzani. Mfupa uliomtoa jasho Magufuli naona Samia kaumumunya tu ukayeyuka. CDM now iko vipande vipande na haitakaa sawa kwa muda mrefu baada ya uchaguzi wa ndani. Ila ni jambo jema wameonyesha rangi zao halisi now.
Kwani huyo naye ni CCM? Si ni mwenyekiti wa CHADEMA mkoa?si ndiye anasema lissu hana uwezo wa kupanga mipango hata ya mtaa?Ukiona mgombea anapingwa sana na machawa wa chama hasimu, ujue tu kuwa huyo ndo anafaa zaidi.
#TUNAENDAnaLISSU
Viongozi wenzake wanasema walimpa nafasi ya kugombea kwa sababu alikuwa na uwezo wa kuropoka sana lakini hana uwezo wa kupanga mipango hata ya mtaa tu.mtu kama tundu lissu kupoteza muda wote kukitumikia chama cha kihuni ni hasara sana kwake.
Usidanganyike.Kwani huyo naye ni CCM? Si ni mwenyekiti wa CHADEMA mkoa?si ndiye anasema lissu hana uwezo wa kupanga mipango hata ya mtaa?
Watanzania wenye akili TimamuNani anawaamini nyie wezi ?
Kura zote za ndio zitamiminwa kwa kishindo kwa Rais Samia na CCM.maana upinzani hasa CHADEMA wamekiri wazi kuwa wanaweka wagombea ambao hata wao wanajua hawawezi kupanga mipango hata ya mtaa tu.Jamani mnatufungua akili, 2025 hataona kura zetu
Hayo mtajuana wenyewe huko huko.maana ninyi kila mtu ananunulika kama mbuziUsidanganyike.
Huyo anatumika.
Ashanunuliwa na ccm kama Msigwa
Wakumbuke kuwa kuna CHADEMA hata baada ya Uchaguzi, wachunge sana kauili zao. Kwa kauli hii anamdhoofisha TAL au CHADEMA?Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa .
Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa Bwana Ntobi .
Amesema ya kuwa walimpatia Lissu nafasi ya kugombea Urais Mwaka 2020 kwa sababu alikuwa na Uwezo wa kuropoka dhidi ya Mgombea wa CCM Wa wakati Huo Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
Amesema ya kuwa lakini pamoja na kuwa walimpa nafasi hiyo ya kugombea Urais lakini walijua kuwa hana uwezo wa kuongoza wala kupanga haya mipango ya mtaa tu.na kwamba shughuli zote na mipango yote ingesimamiwa na chama.
Nadhani hapa wana CHADEMA wanajibu lile swali ambalo lilikuwa linaulizwa kuwa kwanini Lissu alisimamishwa kugombea Urais kwa niaba ya CHADEMA wakati hana uwezo wa kuongoza.
Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa hili na kusalia madarakani mpaka Mwisho wa Dunia.Maana watanzania wamepata majibu kuwa upinzani husimamisha wagombea ambao hata wenyewe wanajua ya kuwa hawana uwezo wa kuongoza wala kupanga mipango hata ya mtaa tu.hivyo itakuwa ni ngumu sana kwa watanzania kupoteza muda wao kupanga foleni kuwapigia kura wagombea wa upinzani.badala yake wataendelea kuwapigia kura wagombea wa CCM tu Daima.View attachment 3180416
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Haahaa hongera chawa wa mboweMbowe ni lazima atashinda uchaguzi huu kwa kishindo sana. Lakini pia tegemee kuona lissu akihama chama baada ya Kumalizika kwa uchaguzi na yeye kuwa ameangukia pua.
Achana na huo uzushi.Viongozi wenzake wanasema walimpa nafasi ya kugombea kwa sababu alikuwa na uwezo wa kuropoka sana lakini hana uwezo wa kupanga mipango hata ya mtaa tu.
Ccm imejaa mapumbavu ndio maana toka uhuru hayajawahi kuchagua mwenyekiti wa chama.Mwenyekiti wangu Taifa ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Je hicho Chama kina Nia njema na taifa?Viongozi wenzake wanasema walimpa nafasi ya kugombea kwa sababu alikuwa na uwezo wa kuropoka sana lakini hana uwezo wa kupanga mipango hata ya mtaa tu.
Nilishamwambia siku nyingi kupitia hapa JF kuwa Lissu amezungukwa na wajinga ,na sisi wachagga huwa tuna usemi kuwa ukicheza na mjinga atakupaka mavi,na ndio hawa vilaza wa chadema wanafanya sasa dhidi ya Lissu.mtu kama tundu lissu kupoteza muda wote kukitumikia chama cha kihuni ni hasara sana kwake.
Kwa taarifa yako Lissu ana uwezo mkubwa mara mia ya uwezo wa mama Abdul.Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa .
Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa Bwana Ntobi .
Amesema ya kuwa walimpatia Lissu nafasi ya kugombea Urais Mwaka 2020 kwa sababu alikuwa na Uwezo wa kuropoka dhidi ya Mgombea wa CCM Wa wakati Huo Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
Amesema ya kuwa lakini pamoja na kuwa walimpa nafasi hiyo ya kugombea Urais lakini walijua kuwa hana uwezo wa kuongoza wala kupanga haya mipango ya mtaa tu.na kwamba shughuli zote na mipango yote ingesimamiwa na chama.
Nadhani hapa wana CHADEMA wanajibu lile swali ambalo lilikuwa linaulizwa kuwa kwanini Lissu alisimamishwa kugombea Urais kwa niaba ya CHADEMA wakati hana uwezo wa kuongoza.
Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa hili na kusalia madarakani mpaka Mwisho wa Dunia.Maana watanzania wamepata majibu kuwa upinzani husimamisha wagombea ambao hata wenyewe wanajua ya kuwa hawana uwezo wa kuongoza wala kupanga mipango hata ya mtaa tu.hivyo itakuwa ni ngumu sana kwa watanzania kupoteza muda wao kupanga foleni kuwapigia kura wagombea wa upinzani.badala yake wataendelea kuwapigia kura wagombea wa CCM tu Daima.View attachment 3180416
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Akili Hamna ndio sabab ya kutag ubavu wa Afandez ili mfanikishe ushetani wenu.Watanzania wenye akili Timamu