Mwenyeketi wa CHADEMA Mkoa Asema walimpa Lissu Nafasi ya Kugombea Urais Kwa sababu Alikuwa anaweza kuropoka dhidi ya Hayati Magufuli Lakini hana uwezo

Kama amekosa maneno ya kusema kuhusu mgombea asiyemtaka, bora akae kimya. Namna hiyo ni kukivuruga chama chake.
 
Anadhani anamkomoa Lisu kumbe anaonyesha dharau ya kiwango cha lami kwa wapiga kura. Anatukana zaidi ya watu milioni 4 waliompigia kura Lisu. Hawa wajinga walikua na haki ya KUSHINDWA kwenye uchaguzi wa s/mitaa. Mwakani pia wabunge na madiwani wapate 0.000000001 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwa lugha aliyotumia kwa ccm kamati ya maadili ingemuhusu, Kwa nn asijenge hoja za maana akaacha kejeli?
 
Mbowe ni lazima atashinda uchaguzi huu kwa kishindo sana. Lakini pia tegemee kuona lissu akihama chama baada ya Kumalizika kwa uchaguzi na yeye kuwa ameangukia pua.
Naomba ushahidi wa sauti ya Mbowe akisema kuwa anagombea uenyekiti wa CDM Taifa, tafadhali sana kama una japo chembe ya ubinadamu timamu.
 
Wewe ni John mlema?
 
Amesema ya kuwa walimpatia Lissu nafasi ya kugombea Urais Mwaka 2020 kwa sababu alikuwa na Uwezo wa kuropoka dhidi ya Mgombea wa CCM Wa wakati Huo Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli.
  1. Binafsi naona yeye Mwenyekiti ndiyo mropokaji
  2. Kama huo ndiyo ulikwa mtazamo basi inaakisi hao viongozi ni wababaishaji ni kama waliosema watampa ajira mke wa marehemu ili atunze watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…