Mwenyeketi wa CHADEMA Mkoa Asema walimpa Lissu Nafasi ya Kugombea Urais Kwa sababu Alikuwa anaweza kuropoka dhidi ya Hayati Magufuli Lakini hana uwezo

CCM DAIMA SAMIA MITANO TENA
 
Mwenyekiti wa ccm huyo
 
Kuna uwezekano CCM imejificha ndani ya CHADEMA kwa muda wa miaka 20 sasa
 
  1. Binafsi naona yeye Mwenyekiti ndiyo mropokaji
  2. Kama huo ndiyo ulikwa mtazamo basi inaakisi hao viongozi ni wababaishaji ni kama waliosema watampa ajira mke wa marehemu ili atunze watoto
Mropokaji ni lissu
 
Mwenyekiti wangu Taifa ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Labda udaktari wa kuvaa ushungi
 
..Shida moja kwa chadema Kila mtu kambale, Hivi kiongozi wa Kanda au mkoa kutoa kauli kama hii kwa kiongozi wa kitaifa kama makamu hatua Gani anachukiliwa?
Uongozi wa Chama unatia aibu sana na by the time uchaguzi unaisha, kazi ya kukusanya mbao itakuwa sio nyepesi.

Nimeona jibu la Katibu Mkuu wa Chama ndugu Mnyika JJ ambalo halionyeshi taswira ya kiongozi anayejielewa

Na haya ni madhara ya uchawa kutake over reasoning capacity
 

Nabubujikwa na machozi ya furaha kwamba Lucas atajiunga na chadema Kama Mbowe akishinda uchaguzi
 
Good analysis kama mwana siasa naungana na ww hyo kauli haifutiki labda waanzishe hama kingine wite kwa pamoja wahamie huko bt wameichafua brand vilivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…