LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Sababu zao za kuondoka hazina mashiko, fikiria yule dogo wa temeke eti aliondoka kisa kakosa siti ya kwenda kwenye oparasheni za chama, ni ujingaKila anayeondoka Chadema mnaona yeye ndio mwenye shida ina maana nyie ni Mungu mmekamilika na hamna shida au tatizo lolote.Huu upumbavu wa kujihesabia haki matunda yake mtayavuna muda si mrefu.
Haahaa kuzuri ni ccmSaa kama chama kigegsuka Mali ya RC na watu wa Bara huku kikibagua Wazanzibar abakie kufanya nini huko? Si bora aende ACT au CCM.
Ukisikia chama la manyumbu ndo hiki sasa. Kila kiongozi wao hana akili. Sijui mlikuwa mnawachaguaje?Huyu aondoke mara Moja , kwanza hajulikan, Hana msaada wowote na Chama .
Pili hawez kufanya kazi na Uongozi mpya.
Aondoke, tuiingize MTU mpya.
Mamuunga mkono na mguu,hako kachama ni Mali ya TEC na wanabagua WazanzibarHaahaa kuzuri ni ccm
Ulitaka wabaki na wafanye walivyofanya Lissu na wenzake? Wauchimbe uongozi mpya wakiwa ndani ya chama? Kumbuka usemi wa "hamna kuhama" hausemi "hamna kufukuzwa". Na waliishaanza kufukuzwa.Huu ni wakati kwa wale walikuwa team mbowe na chadema damu kuweka wazi misimamo Yao kwamba hakuna kuhama chama. Mwanachama kindakindaki hahami chama kisa uongozi umebadilika...
Kule ccm atapewa cheo fasta, Kupigania wananchi asahauMamuunga mkono na mguu,hako kachama ni Mali ya TEC na wanabagua Wazanzibar
Kama Wachaga wamekimbia hako kachama ka TEC na Maria sembuse Wazanzibar wanaobaguliwa na kina Lisu mchana kweupee?Ulitaka wabaki na wafanye walivyofanya Lissu na wenzake? Wauchimbe uongozi mpya wakiwa ndani ya chama? Kumbuka usemi wa "hamna kuhama" hausemi "hamna kufukuzwa". Na waliishaanza kufukuzwa.
Amandla...
Kupigania Wananchi kukoje?Kule ccm atapewa cheo fasta, Kupigania wananchi asahau
Huo msimamo wa hakuna kuhama chama ulitolewa na team mbowe kipindi kile wakilenga team lissu waliamini itashindwa uchaguzi, Bila kujua mungu ndo mpangaji mkuu, kwa sasa wanachokifanya ni kinyume chake..Kuna kigogo moja wa ccm juzi aliwashangaa Sana G55 alisema unawezaje kuhama chama ulichokijenga muda mwingi kisa aliyeshinda sio uliyemuunga mkono? Hayo mambo yanavumilika kama unakipenda chamaUlitaka wabaki na wafanye walivyofanya Lissu na wenzake? Wauchimbe uongozi mpya wakiwa ndani ya chama? Kumbuka usemi wa "hamna kuhama" hausemi "hamna kufukuzwa". Na waliishaanza kufukuzwa.
Amandla...
Wanabaguliwaje na lissu mkuu?Kama Wachaga wamekimbia hako kachama ka TEC na Maria sembuse Wazanzibar wanaobaguliwa na kina Lisu mchana kweupee?
Kama anavyofanya now Kupigania haki zao za kuwa na tume huru ya uchaguzi Ili kura zao ziheshimiwe, kule ccm ni kugawana vyeo na utajiri wa Tanganyika tu basi,Kupigania Wananchi kukoje?
Ulitaka wangoje kufukuzwa kama ambavyo baadhi yao walivyofukuzwa? Hiyo spinning ya kuwa wanaondoka kwa sababu Mbowe alishindwa haina tija maana baadhi yao walionyesha utayari mkubwa wa kushirikiana na uongozi uliopo. Wanaondoka kwa sababu uongozi uliopo umewaonyesha kuwa hawana nafasi katika chama.Huo msimamo wa hakuna kuhama chama ulitolewa na team mbowe kipindi kile wakilenga team lissu waliamini itashindwa uchaguzi, Bila kujua mungu ndo mpangaji mkuu, kwa sasa wanachokifanya ni kinyume chake..Kuna kigogo moja wa ccm juzi aliwashangaa Sana G55 alisema unawezaje kuhama chama ulichokijenga muda mwingi kisa aliyeshinda sio uliyemuunga mkono? Hayo mambo yanavumilika kama unakipenda chama
Wewe ni miongoni mwa g55 akili yako inajionesha hivi unaweza hama chama kisa aliyeshinda humpendiUlitaka wangoje kufukuzwa kama ambavyo baadhi yao walivyofukuzwa? Hiyo spinning ya kuwa wanaondoka kwa sababu Mbowe alishindwa haina tija maana baadhi yao walionyesha utayari mkubwa wa kushirikiana na uongozi uliopo. Wanaondoka kwa sababu uongozi uliopo umewaonyesha kuwa hawana nafasi katika chama.
Kushirikiana na uongozi ni pamoja na kutoa ushauri na kuchangia mawazo yako. Kama hata hilo linachukuliwa kama usaliti kwa nini ubaki? Umezee tu wakati unatukanwa na kufanyiwa udhalilishaji wa kila namna? Mtu mwenye integrity akiona hivyo anajitoa badala ya kukichimba chama chake anachokipenda kwa dhati.
Amandla...
Sasa kwa nini washiriki uchaguzi ambao wewe unakiri na kila mtu anajua:Kabla ya kujitoa CHADEMA wangeshinda kwa mbinde na ingewabidi kutumia nguvu za ziada na wacheze foul za wazi.
Mkuu sasa mlimchaguaje mwanachama wa CCM?Huyu asipoondoka sasa, alazimishwe kwa lazima aondoke haraka sana, ni kapi la kijani kwa 99%.
Ni mama fulani hivi wa ovyo mnoo.
kuna jamaa yangu alikuwa tishio kwenye kata akashawishiwa ajitoe akahama chama na mpunga juu akajenga nyumba. Alinunuliwa kutoka upinzaniKipindi cha uchaguzi huwa kuna biashara nyingi zinaendelea,
Siasa ya nchi hii ni biashara, na mimi naunga mkono hoja acha iwe biashara maana wananchi hawajielewi
Ndio chungu ya Demokrasia.Mkuu sasa mlimchaguaje mwanachama wa CCM?
Wakati wa uchaguzi, bahati nzuri kila mtu alikuwa anajua nayule Mama hakujificha kwamba yeye anamsupoti Mbowe,shida inawezekana ilianzia hapo,hizi tuhuma zingine ni kuomgezea tu justification za yeye kuondoka.......ila ukweli nikwamba majeraha ya uchaguzi ndiyo yamekifikisha chama hapaNdio chungu ya Demokrasia.
Wamama walimuona anawafaa, na wengine walinunuliwa, demokrasia ikachukua mkondo wake, akachaguliwa. Lakini yote hayo hayaondoi ukweli ambao wengine tunaujua, yule mama ni mbuzi wa kijani. Muda utafika atakwenda CCM, na asipokwenda atapelekwa kwa lazima.
Huu mziki wa Lissu hawezi kuucheza daima. Ni mziki mzito balaa.