Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Akombe posho wakati pesa za tone tone zimeenda kununulia EBOLA na Mpox. ???Mbona Heche anakomba posho kila siku kupitia tone tone?π
Chama ni mali ya wanachama kwa sasa.Mtajitungia mengi mwaka huu. Hivi hamuoni aibu? Mnachothibitisha ni kuwa mnachojua ni kutukana tu.
Amandla...
Haki hicho kifuu juu ya shingo kimezidi sasa!Hilo sio siri. Alikuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar wakati wa Uenyekiti wa Halima. Ungesema tu ulichotaka kusema. Uzanzibari wake unahusika vipi kwenye hili?
Amandla...
Umepoteza the moral high ground.Sio bure mkaitwa nyumbu.
Atakuwa ni mtu wa hovyo sana hasa ukizingatia alivyoweza kushinda hiyo nafasi.Anarudi nyumbani
Wewe endelea kuniita dada hadi hapo nitakapokubamiza huko nyuma hadi akili ikukae sawa.πππ..Unawaza posho tu dada?...
Sijawahi ku claim hiyo moral high ground, wala mimi kuwa ni voice of reason. Nimewaita nyumbu wale ambao wana jaribu kuwa bully wale ambao hawakubaliani nao. Wale ambao hata G-55 wawaeleze vipi wanatia pamba kwenye masikio kwa sababu tu hawataki kutofautiana na the Great Leader".Umepoteza the moral high ground.
Ulianza kama voice of reason. Sasa unaita watu nyumbu!
Hahahahaaaa...
Mtetezi wa G55, waliosema wametwezwa, wamekebehiwa, unatumiaje lugha kama hizo?
"Unathibitisha kwamba unachojua ni matusi."
G55 bado wanashindwa kusema shida ni nini, haswa kwa kutumia wasemaji kama Fundi Mchundo.
una ushahidi wamewanunua?Simuoni kwenye mikutano.
Mimi naionea huruma Tanzania yangu Kwa kuongozwa na CCM, chama la wajinga linaoamin kununua Wapinzani, ni kuua Chama .
Atakuwa ni mtu wa hovyo sana hasa ukizingatia alivyoweza kushinda hiyo nafasi.
"...yupo hot"?Ldama salumu mwalimu kanunuliwa, sembuse huyu ambaye yupo hot kabisa?
Samahani. Nilitaka kupita kimya kimya tu, lakini haya maneno uliyotumia hapa yakabaki yanaichoma moyoni.Siasa ni imani na kila mtu ana imani yake
Iman gani inayobadilika baada miezi 3 tu toka apambane kupata hiyo nafasi. Arudi nyuma hata kutazama zile video za mkutano mkuu.Hutakiwi kumhukumu kwa kutaka awe unavyotaka wewe
Siasa ni imani na kila mtu ana imani yake
Wahusika wa usambaratishaji walianza kutaja kabla G-55 hawajaanza kutangaza 'poor coordination'Bony Yai siku yake ni lini, au yeye hayumo?
Sijamsikia Sugu, kasafiri?
Wenje; ile inawezekana ilikuwa geresha tu!
Ni kama wamejipanga kwa zamu kiustadi sana.
Siku ya Mbowe itakapowadia; hapo kazi itakuwa imekwisha. Amani itatamalaki ndani ya CHADEMA, na chama kitaimarika vyema.
Huu mchezo ni kama ulipangiliwa kwa ustadi sana.
Kwanza ilipangwa kumwondoa Mwenyekiti uwanjani, ili kazi ya kuitikisa CHADEMA ianze.
Watu wa Mbowe, wakaanza mmoja baada ya mwingine, kidogo kidogo kila wiki kutangaza kuondoka ndani ya chama, sababu zikiwa ni zile zile walizofundishwa kuzisema.
Wakati huo huo, 'Mtungi' naye kaamuka na lake, kuunga mkono madai ya hao wanao ondoka CHADEMA; na kutangaza viongozi walio teuliwa na Mwenyekiti, ambaye hayupo kutetea lolote, kuwa hawatambuliwi.
Sasa kilicho baki ni kusubiriwa Mbowe, aonyeshe/azindue wanakoelekea hawa wote, sijui itakuwa CHAUMA, au vipi.
Lakini yote kwa yote, kuondoka ndani ya chama virusi hawa ni bahati kubwa sana waliyojaliwa CHADEMA. Hawa watu wangekomalia kubaki ndani ya chama wangeleta uharibifu mkubwa sana.
Huyo mama wa BAWACHA, toka mwanzo alijitangaza yeye ni mtu wa Mbowe; kwa hiyo sasa tunaelekea ukingoni, kumfikia mwamba mwenyewe afunge hii kazi.
Hii "imani" aliyo nayo mtu; ya kwamba ni lazima abaki madarakani kwa njia yoyote ile, hata ya wananchi wake kupoteza maisha yao, hii na yenyewe tuibariki kuwa ni "imani ya mtu" kisiasa?
Iman gani inayobadilika baada miezi 3 tu toka apambane kupata hiyo nafasi. Arudi nyuma hata kutazama zile video za mkutano mkuu.
Huku ni kukosa maono kama kiongozi.
tayari umekwisha changia, na umeeleweka kuwa huna jibu.Jibu lilikua kwa mujibu wa maada
Andika uzi wako tutachangia kwa hilo hapo juu