Mwenyekiti CCM Nyamagana: Tunawataka DP World bandari ya Mwanza, watoto wa kiarabu wajae

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Your browser is not able to display this video.

"Tutakapolimaliza ya bandari ya Dar es Salaam hata Mwanza hapa tuna bandari, tunawataka Waarabu hapa, waje Waarabu DP world sijui na nani, waje hapa watuendelezee bandari ya Mwanza.

"Tukitoka hapa tunahamia Ukerewe, tukitoka hapo ni visiwa vyote vya ukala, wape Waarabu. Waarabu oyeee.

"Tunataka hata watoto wa Kiarabu wajae Mwanza hapa jamani, kuchanganya rangi raha. Waarabu safii, DP World oyeee!


"Kazi yetu sisi ni hamasa, na hamasa mnaiona. Asanteni sana kwa kunisikiliza, Mungu Baba wa Mbinguni awabariki. Chama Cha Mapinduzi kipo madarakani, kitaendelea kuwa madarakani mpaka utukufu wa Yesu Kristo utakapokuja mara ya pili. Hapo vipi?"

Wahamasishaji kazini, kazi kwelikweli!
 
Yani huyu tutusa ndio Mwenyekiti wa Ccm mkoa?

Hivi hao Waarabu wa Tabora na wilaya ya Nzega wamechanganya damu na mswahili yupi?

Pumbavu kabisa.
 
Hivi CCM hakuna watu wenye akili mpaka wanampa huyu punguani uongozi?
 
Tatizo kubwa hili
 
Mpumbavu mmoja huyu
 
kwani mwanza hadi nzega na tabora ni bei gani? mbona wamejaa tu kuanzia pale nzega ndogo na nzega yote, igunga na tabora yote. wawape viwanja vya bure na wawaowe ili kupunguza ugumu wa sura zetu sisi wasukuma. dada zetu wamechoka kuambiwa wanafanana na baba zao.
 
Ujinga nao kipaji
 
Bogus la kutupwa hilo

Na warabu walivyo wao ndio watawala na kuwatia mimba mabinti wakiafrika na kuwatelekeza na watoto, na mbaya zaidi ni pamoja na kuwala 0714 vijana wakiume; wakati huo huo hakutakuwa na mwanaume mwafrika anaye wapata mabinti wa kiarabu kuwala.
 
Ila hawa jamaa cjui wana tatizo gan hasa!!
 
Mimi mwenye namba ___ya chama naona aibu

Tunashindwa hata kuwatetea sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…