Mwarabu mlokole
JF-Expert Member
- Jul 8, 2023
- 231
- 386
Mkuu mbona huyo mwenyekiti "mnyamagana" kaongea ukweli mtupu?Kweli kabisa Katibu wa Itikadi taifa aweza kutema pumba za aina hii?
Au Mwenyekiti wa chama wilaya kama Nyamagana iliyo katikati ya jiji kama Mwanza kuwa na upeo kama huu halafu mnamtuma kutetea mkataba Tata kama Bandari?
Mnavyofanya ni labda kuwadharau wananchi wenu kuwa ni mbumbumbu au CCM yenyewe haina uwezo wa kujitambua na hapo ndio mwisho wa uwezo wake.View attachment 2694945
Kasema " kazi yetu sisi ni hamasa na hamasa mnaiona; Ccm hoyeee!"
Ni mkweli na hajamung'unya maneno.
Tatizo tunapenda kudanganywa ili masikio yetu yafurahi.