Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,414
- 4,794
CCM maana yake ni Chama Cha MajuhaHivi CCM hakuna watu wenye akili mpaka wanampa huyu punguani uongozi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM maana yake ni Chama Cha MajuhaHivi CCM hakuna watu wenye akili mpaka wanampa huyu punguani uongozi?
Mwambieni Gwajima sisi waTanaganyika wa Kawe hatujasahau ahadi zake za kutupelleka ughaibuni ; asipotuletea ticket kabla ya 2025 asije Kawe Kuomba kura!!!
Jamani mbona nyie nyumbu akili hamna. Ule kwa wasukuma ni utani halafu mnamkandia. Acha watoto wa kiarabu waje watu waoeMajinga yanayowaza ngono muda wote hayawezi kujibu hoja za kwanini ule mkataba mbovu wa bandari ulisainiwa.
anajua Marekani hakuna Jimbo linaitwa BirminghamMwambieni Gwajima sisi waTanaganyika wa Kawe hatujasahau ahadi zake za kutupelleka ughaibuni ; asipotuletea ticket kabla ya 2025 asije Kawe Kuomba kura!!!
We ni mimi kabisa, mtu mwenye akili akimsikia anajua Watanzania wote ndio akili zetu zipo hivyoInasikitisha sana kuzaliwa nchi moja na jamii ya watu kama huyu chawa wa ccm
this time sidhani kama anapita, ujenzi wa kanisa naona pia unasua sanaHuyu wakimkata jina anarudi kula madhabauni, sasa zile kima ambazo zinaishi kwa siasa ndio lazima zijizime data.
Kama Mwalimu angewaruhuru Wachina waje wote miaka ile ya Ujenzi wa SGR ya TAZARA huyu mjamaa sijui angekuwa wapi!Give them enough rope so they can Hung themselves....,
Nadhani kuna wengine wanaogopa wasipotetea watatengwa hivyo wanatetea kwa mbinu za kuonyesha woga / sintofahamu walizonazo wananchi.....
That is what I have said..., huenda kaogopa kutokuongea baada ya kuitwa lakini akaamua kuongea ndivyo sivyo ili ujumbe anaotaka ufike, ufike.... (Yaani waliomwambia aongee in hindsight bora wangemwambia akae kimya) Kwahio naweza kusema huenda haungi mkono Hoja....Kwa tuliomwelewa, he is doing sarcasm at its finest. 😂😂😂
Babeli is real real. Haina tofauti Na Yule make wa mfalme wa ufaransa aliyesema kama hakuna mikate si wapewe keki wale kwanini walielie?
"Tutakapolimaliza ya bandari ya Dar es Salaam hata Mwanza hapa tuna bandari, tunawataka Waarabu hapa, waje Waarabu DP world sijui na nani, waje hapa watuendelezee bandari ya Mwanza.
"Tukitoka hapa tunahamia Ukerewe, tukitoka hapo ni visiwa vyote vya ukala, wape Waarabu. Waarabu oyeee.
"Tunataka hata watoto wa Kiarabu wajae Mwanza hapa jamani, kuchanganya rangi raha. Waarabu safii, DP World oyeee!
"Kazi yetu sisi ni hamasa, na hamasa mnaiona. Asanteni sana kwa kunisikiliza, Mungu Baba wa Mbinguni awabariki. Chama Cha Mapinduzi kipo madarakani, kitaendelea kuwa madarakani mpaka utukufu wa Yesu Kristo utakapokuja mara ya pili. Hapo vipi?"
Wahamasishaji kazini, kazi kwelikweli!
Mkuu wale Viongozi mahiri wa CCM wenye kufuata na kutii MIIKO YA CHAMA hawapo, wame staafu; waluopo ni vijana ambao kuingia kwenye Chama na kuwa Wanachama masharti yake ni kujua kusoma na kuandika.Hivi CCM hakuna watu wenye akili mpaka wanampa huyu punguani uongozi?
Hapana brother akili anayo sana ndo mana kaona aongee ushehereshaji kwakua li mkataba halibebekiHapo ndio elimu yake ilipoishia tusimlaumu
Mkuu, kwa kifupi ni kwamba sehemu zote walizo kaa/ishi Waarabu hapa TZ karibia nyingi kama sio zote hamna maendeleo, waliziacha maskini balaa.kwani mwanza hadi nzega na tabora ni bei gani? mbona wamejaa tu kuanzia pale nzega ndogo na nzega yote, igunga na tabora yote. wawape viwanja vya bure na wawaowe ili kupunguza ugumu wa sura zetu sisi wasukuma. dada zetu wamechoka kuambiwa wanafanana na baba zao.
Ni heri babake angelipiga hilo bao kt condom kisha akaiflashia chooni na si kumzaa huyu nyambafuInasikitisha sana kuzaliwa nchi moja na jamii ya watu kama huyu chawa wa ccm
Huyo ana hamu ya kuolewa na waarabu
"Tutakapolimaliza ya bandari ya Dar es Salaam hata Mwanza hapa tuna bandari, tunawataka Waarabu hapa, waje Waarabu DP world sijui na nani, waje hapa watuendelezee bandari ya Mwanza.
"Tukitoka hapa tunahamia Ukerewe, tukitoka hapo ni visiwa vyote vya ukala, wape Waarabu. Waarabu oyeee.
"Tunataka hata watoto wa Kiarabu wajae Mwanza hapa jamani, kuchanganya rangi raha. Waarabu safii, DP World oyeee!
"Kazi yetu sisi ni hamasa, na hamasa mnaiona. Asanteni sana kwa kunisikiliza, Mungu Baba wa Mbinguni awabariki. Chama Cha Mapinduzi kipo madarakani, kitaendelea kuwa madarakani mpaka utukufu wa Yesu Kristo utakapokuja mara ya pili. Hapo vipi?"
Wahamasishaji kazini, kazi kwelikweli!
Mkuu usihusishe kabila na ujinga wa mtu mmoja