Mwenyekiti CCM Nyamagana: Tunawataka DP World bandari ya Mwanza, watoto wa kiarabu wajae

Mwenyekiti CCM Nyamagana: Tunawataka DP World bandari ya Mwanza, watoto wa kiarabu wajae

Kwenye uongozi wa DP kuna wadosi pia si ajabu mkajaziwa wahindi wanaowafananisha na nyani.

Mfano MD wa DP World kwa Sub Saharan Africa ni Akoojee,huyu si ndugu yake Karimjee.😁.
 
Kweli kabisa Katibu wa Itikadi taifa aweza kutema pumba za aina hii?

Au Mwenyekiti wa chama wilaya kama Nyamagana iliyo katikati ya jiji kama Mwanza kuwa na upeo kama huu halafu mnamtuma kutetea mkataba Tata kama Bandari?

Mnavyofanya ni labda kuwadharau wananchi wenu kuwa ni mbumbumbu au CCM yenyewe haina uwezo wa kujitambua na hapo ndio mwisho wa uwezo wake.

Viongozi kama ndio hawa basi ndio sababu ya migogoro hii yote maana hawana uwezo kabisa! Na hawajitambui
 
Kweli kabisa Katibu wa Itikadi taifa aweza kutema pumba za aina hii?
Au Mwenyekiti wa chama wilaya kama Nyamagana iliyo katikati ya jiji kama Mwanza kuwa na upeo kama huu halafu mnamtuma kutetea mkataba Tata kama Bandari?
Mnavyofanya ni labda kuwadharau wananchi wenu kuwa ni mbumbumbu au CCM yenyewe haina uwezo wa kujitambua na hapo ndio mwisho wa uwezo wake.View attachment 2694945
Chama cha Mambumbumbu
 
"Nchi haiwezi kupoa kama ugali" Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Back
Top Bottom