Mwenyekiti CCM Nyamagana: Tunawataka DP World bandari ya Mwanza, watoto wa kiarabu wajae

Majinga yanayowaza ngono muda wote hayawezi kujibu hoja za kwanini ule mkataba mbovu wa bandari ulisainiwa.
Jamani mbona nyie nyumbu akili hamna. Ule kwa wasukuma ni utani halafu mnamkandia. Acha watoto wa kiarabu waje watu waoe
 
Mwambieni Gwajima sisi waTanaganyika wa Kawe hatujasahau ahadi zake za kutupelleka ughaibuni ; asipotuletea ticket kabla ya 2025 asije Kawe Kuomba kura!!!
anajua Marekani hakuna Jimbo linaitwa Birmingham
 
Kwa tuliomwelewa, he is doing sarcasm at its finest. 😂😂😂
 
Give them enough rope so they can Hung themselves....,

Nadhani kuna wengine wanaogopa wasipotetea watatengwa hivyo wanatetea kwa mbinu za kuonyesha woga / sintofahamu walizonazo wananchi.....
Kama Mwalimu angewaruhuru Wachina waje wote miaka ile ya Ujenzi wa SGR ya TAZARA huyu mjamaa sijui angekuwa wapi!
 
Kwa tuliomwelewa, he is doing sarcasm at its finest. 😂😂😂
That is what I have said..., huenda kaogopa kutokuongea baada ya kuitwa lakini akaamua kuongea ndivyo sivyo ili ujumbe anaotaka ufike, ufike.... (Yaani waliomwambia aongee in hindsight bora wangemwambia akae kimya) Kwahio naweza kusema huenda haungi mkono Hoja....
 
Babeli is real real. Haina tofauti Na Yule make wa mfalme wa ufaransa aliyesema kama hakuna mikate si wapewe keki wale kwanini walielie?
 
Hivi CCM hakuna watu wenye akili mpaka wanampa huyu punguani uongozi?
Mkuu wale Viongozi mahiri wa CCM wenye kufuata na kutii MIIKO YA CHAMA hawapo, wame staafu; waluopo ni vijana ambao kuingia kwenye Chama na kuwa Wanachama masharti yake ni kujua kusoma na kuandika.
 
Huku ndio kupingana na MAAMUZI ya CHAMA......: bila kupingana na MAAMUZI YA CHAMA...., if you know what I mean !!!
 
Mkuu, kwa kifupi ni kwamba sehemu zote walizo kaa/ishi Waarabu hapa TZ karibia nyingi kama sio zote hamna maendeleo, waliziacha maskini balaa.
 
Huyo ana hamu ya kuolewa na waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…