mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
Hahahhaahhaaahahahhaahana namna inanibidi nicheke tu kwaviongozi Hawa badosanaChadema asili wamempindulia meza Lissu
EU iache kuingilia mambo ya Tanzania kwa kuwa ina namna yake ya kumaliza changamoto zake za ndani
Huko Znz naskia na Maalim Seif ameanza ku shave ndevu na kunyoa ma panki yale ya 2010-2015
Kidumu chama cha Mapinduzi
Hata mimi nimeshukuru kwakweli yaani CHADEMA wameonesha uhalisia wao mapema kabisa hahaahaahahahahaha hivi huyu mbowe si ndio angekua waziri mkuu huyu huyu mmh kuanzia leo sitawashabikia tena washenzi wakubwa hawaHiki ndo ambacho nilikua nakiwaza, nadhani tumemfahamu Tundu Lissu kwa muda mrefu, ni wakati wa kuanzisha chama chake sasa, hakika watu wenye misimamo kama yake tupo na labda itakua ndio njia mpya kuelekea serikali mpya. Ila kwa CHADEMA I think tumeona sura halisi ya walio wengi kule katika uongozi, tamaa na kutokujiamini na kutochange mbinu vinawamaliza very slowly, God forbid !!!!
Sure, ni kumshukuru Mungu sababu pengine tulimlaumu sana Mungu kwa nini ameruhusu chedema wafanyiwe walivofanyiwa kwenye uchaguzi ulioisha, kwa nini aliruhusu ccm ichukue nchi, ila naamini Mungu aliona Chadema bado sio watu sahihi kushika nchi, and i regret kuwaunga mkono, na kuharibu my vote.Hata.mm nimeshukuru kwakweli yn Chedema wameonesha uhalisia wao mapema kabisa hahaahaahahahahaha hv huyu mbowe siindio angekua wazili mkuu huyu huyu mmh kuanzia leosiishabikia tena washenzi wakubwa hawa
Tamko la nini bwashee!Toeni tamko kuhusu akina Mdee. Mkikaa kimya kama mlivyofanya Kwa Aidan, CHADEMA mnaizika.
Wafukuze, hawana tofauti na wauaji ambao wamewaua akina Mawazo, Ben na wengine.
Mawazo alikufa ili nyinyi muwe wasaliti
Vitisho vya maisha kwa mtu aliyenusurika mauaji kwa risasi 16 si ya kubezaWewe ndio umemuona Anti ndio wakumwamini?? Si alisema ni Yeye, walisema hatakuja kaja? Haogopi, walimnyima kibali cha kuruka akalazimisha na walishindwa kumzuia bla blah kibao , ticket yake ni 18/12/2020 kwa ajili ya matibabu blah blah, lakini baada ya kushindwa na kwa kuwa alikuwa hana passport nk anaona wilaya yake ya kusafiri ni kukimbilia ubalozi wa nchi za nje na mwishowe kuishia nyumbani kwa Balozi wa Ujerumani, mengine yamebaki historia au tuseme yajayo yanafurahisha
Acheni roho mbaya kwa hiyo manataka Mbowe akose ruzuku aishije?Toeni tamko kuhusu akina Mdee. Mkikaa kimya kama mlivyofanya Kwa Aidan, CHADEMA mnaizika.
Wafukuze, hawana tofauti na wauaji ambao wamewaua akina Mawazo, Ben na wengine.
Mawazo alikufa ili nyinyi muwe wasaliti
Mkuu labda kama hausikilizi redio wala hauperuzi mitandaoni ,Chadema kupitia Mnyika katamka wazi kwamba CHADEMA hawakupeleka majina yeyote TUME.Toeni tamko kuhusu akina Mdee. Mkikaa kimya kama mlivyofanya Kwa Aidan, CHADEMA mnaizika.
Wafukuze, hawana tofauti na wauaji ambao wamewaua akina Mawazo, Ben na wengine.
Mawazo alikufa ili nyinyi muwe wasaliti