blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Kazingua sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaposema ametumia muda wake mwingi kuwakaripia viongozi wenzake wa Chadema, nakushangaa, kama wewe ukiona mtu anakusema kwa kitu ambacho hujafanya, mtu anaendeshwa na hisia zake binafsi kukuhukumu, na kukuchafua kwa wanachama wako, utakaa kimya? ajabu akijitetea ndio mnazidi kumuona mlamba asali, nyie mnataka akae kimya tu!.Amepoteza hii nafasi. Ametumia muda mrefu kuwakaripia viongozi wenzake wa Chadema kuliko kuikosoa CCM. Ametumia mrefu mno kulalamikia dhana kuwa amelamba asali kuliko kuwazungumzia wanachama wenzake ambao bado wako ndani. Mimi nilitegemea angetumia nafasi hii kuunganisha na kuwatia moyo wanachama wenzake lakini badala yake ametuonyesha kuwa kuna mpasuko ndani ya chama chake na hataki kukoselewa. Ameni disappoint sana. Angalau viongozi wenzake waliomtangulia walionyesha kuwa bado moto unawaka ndani ya matumbo yao.
Amandla...
Kuna mtu kaandaliwa ku shine pande hizo Ili akabidhiwe uenyekiti wa Chama!!!Nani kampa mkt POMBE?😠😠😠
Mchele kilo 3000, amepata wapi pesa ya kwenda kulewea?
si amesema kuwa viongozi wake walisema kuwa amelamba asali, na amesema hayo yameisha tusonge mbele!wakeUsibishe, Kuna kitu hakiko sawa Kwa mkt na uongozi CDM.
Tutajua BAADAYE.
Tukiombee chama,si amesema kuwa viongozi wake walisema kuwa amelamba asali, na amesema hayo yameisha tusonge mbele!wake
Safi sana madini matupu.tatizo watu hawajui hivi vituUnaposema ametumia muda wake mwingi kuwakaripia viongozi wenzake wa Chadema, nakushangaa, kama wewe ukiona mtu anakusema kwa kitu ambacho hujafanya, mtu anaendeshwa na hisia zake binafsi kukuhumu, na kukuchafua kwa wanachama wako utakaa kimya?
Kwangu, alichofanya Mbowe ni sahihi kabisa, Lema na wenzake walitakiwa waje na uthibitisho wa vile Mbowe alilambishwa asali, lakini sio mtu upo Canada, kisa unaona mambo hayaendi vile ulivyozoea, ndio uanze kutengeneza hisia zako na kutoa shutuma kwa kiongozi wako, alikosea.
Mimi na wewe hatuwezi kujua secret behind ya kuruhusiwa hii mikutano ya siasa, lakini inawezekana kabisa, hekima na ukimya wa Mbowe, ndivyo vilichangia kumfanya Samia akubaliane nae, lakini kama mihemko ya kina Lema mnayoipenda ndio ingekuwa kwenye meza ya mazungumzo, basi inawezekana kabisa, mpaka leo mambo yangekuwa hayaeleweki.
Mbowe amejua kucheza na akili ya Samia na kushinda mchezo, tuliona vile ukimuendea Samia kwa mihemko nini atakufanya, - ukinipara nakuparua -, mwishowe Mbowe akaenda jela kwa kesi ya kutengenezewa, na hakuna mwanachama wala mpenzi yeyote wa Chadema, aliyefanya chochote kumtoa Mbowe gerezani.
umeona eh!Kwendraa huko. Unatafuta kuridhisha tu ego yako.
Hiyo pombe mlikuwa nae kilabuni?Angeenda bila kulewa asingekuwa huru kuyataja mazuri ya Mama Samia. Kafanya vyema sana. Inahitaji kujitoa ufahamu kwanza mbele ya BAVICHA ili uweze kuzungumzia mazuri ya CCM. Mbowe ni mtaalamu wa siasa za nchi hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1] Mkuu cdm Leo imenitoka rohoni kabisaa.We jamaa nikadhani pumba unaandika ukiwa jukwaa lile tu, kumbe ndio tabia yako!
Mbowe ameshakuwa compromised....Ile kesi imewekwa kiporo ili kumdhibiti.Mbowe amejua kucheza na akili ya Samia na kushinda mchezo, tuliona vile ukimuendea Samia kwa mihemko nini atakufanya, - ukinipara nakuparua -, mwishowe Mbowe akaenda jela kwa kesi ya kutengenezewa, na hakuna mwanachama wala mpenzi yeyote wa Chadema, aliyefanya chochote ili kumtoa Mbowe gerezani, wakati mwingine acheni akili zifanye kazi, sio maguvu kila wakati!.
Mimi nimetoka mkoa hadi furahisha mwanza kuja kuona chama changu lakini nimefedheheshwa sanaHiyo pombe mlikuwa nae kilabuni?
Nyie jamaa mnaanza zile propaganda za CCM, kukodisha watu wakampiga na kumvunja mguu, wakasingizia alikuwa amelewa, huku mpaka leo polisi wako kimya kutoa taarifa yao kuhusu lile tukio.
Nenda CCM boss..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1] Mkuu cdm Leo imenitoka rohoni kabisaa.
Mwamba kalamba asali na mbaya zaid kapamda jukwaani akiwa gambe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hizi sound zipo nyingi..Mimi nimetoka mkoa hadi furahisha mwanza kuja kuona chama changu lakini nimefedheheshwa sana
"Mbowe kuwa compromised"
Hakuna akili yeyote pale, kwa Sasa ni 'trojan horse' ya Utawala na ile kesi imechangia hili."Mbowe kuwa compromised"
Hayo maneno ni hisia tupu, kama una ushahidi weka hapa tuuone, nimewaonesha Mbowe alivyocheza mchezo kwa akili, ajabu mnakomaa na hisia za kina Lema tu!
Sio sound mkuu. Ona iyo pic bado nipo eneo la tukio na hapa wanafungua jukwaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hizi sound zipo nyingi..