TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Huyu mzee aliniudhi wakati wa campaign za 2000 alivyokuwa akirusha vipindi kuonyesha mauaji ya Rwanda eti tukichagua vyama vingi tutakuwa kama Rwanda. Nadhani alifanya hivyo ili aendelee bila kufuatiliwa na watawala.
Tujifunze kusamehe na kutowasema wasioweza kujitetea(MAITI/Marehemu).tumuombe mungu atupe mwisho mwema sote.
 
Uchumi ulio taabani plus kifo hiki cha huyu tajiri ambae ni mlipa kodi mkubwa na pia mwajiri mkubwa,ni janga lingine linakuja unless watakaorithi watamudu kuendesha biashara alizoacha yakiwemo makampuni,n.k.

Ama kweli kamba hukatikia pabovu!
Duuh watu mshawaza mbali
 
Watu wa hivi ndo hawafagi mapema...yani jiwe kwa maneno yake ya Jana hapo kaongezewa 10 yrs za bonus.
Yaani kuna comment inabidi ucheke hakuna namna 😀😀😀😀pumzika kwa amani Mengi.
 
Apumzike kwa amani...naamini alikuwa baraka kwenye maisha ya watu wengi hasa wasiojiweza.. tumeshuhudia akiwaita vilema & kula nao pamoja na kuwapa kile alichojaariwa na mwenyezi Mungu, & amesaidia kwenye miradi mingi ya maendeleo..

Tumuombee kwa mwenyezi Mungu
 
RIP Papa Mengi, pole kwa familia na wote walioguswa na msiba huu. Amefanya alichofanya kinaonekana nasi tujitahidi kufanya kile tuwezacho.
 
Hata ukijua ugonjwa au sababu nyingine ya kifo ewew unafaidika na nn!?kimsingi Habari imethibitishwa kuwa Ni kweli kafariki hayo mengine Ni Siri ya familia zao boss.
 
Ugonjwa wa mtu ni siri yake..sio lazima tujue

RIP mzee mengi
 
umeacha tabasamu,safiri salama,tutaonana badae?,may your soul rest in heaven peaceful,leo wewe kesho sisi,...#pumzikakwaamanimengi,
 
Hebu fafanua hapo kwenye bold please😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…