TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Huyu mzee aliniudhi wakati wa campaign za 2000 alivyokuwa akirusha vipindi kuonyesha mauaji ya Rwanda eti tukichagua vyama vingi tutakuwa kama Rwanda. Nadhani alifanya hivyo ili aendelee bila kufuatiliwa na watawala.
Tujifunze kusamehe na kutowasema wasioweza kujitetea(MAITI/Marehemu).tumuombe mungu atupe mwisho mwema sote.
 
Uchumi ulio taabani plus kifo hiki cha huyu tajiri ambae ni mlipa kodi mkubwa na pia mwajiri mkubwa,ni janga lingine linakuja unless watakaorithi watamudu kuendesha biashara alizoacha yakiwemo makampuni,n.k.

Ama kweli kamba hukatikia pabovu!
Duuh watu mshawaza mbali
 
Apumzike kwa amani...naamini alikuwa baraka kwenye maisha ya watu wengi hasa wasiojiweza.. tumeshuhudia akiwaita vilema & kula nao pamoja na kuwapa kile alichojaariwa na mwenyezi Mungu, & amesaidia kwenye miradi mingi ya maendeleo..

Tumuombee kwa mwenyezi Mungu
 
RIP Papa Mengi, pole kwa familia na wote walioguswa na msiba huu. Amefanya alichofanya kinaonekana nasi tujitahidi kufanya kile tuwezacho.
 
Ndio matatizo ya kuzoea kuandika habari za udaku

Mzee Mengi kafa R.I.P

Lakini cause ni nini? Hakuna kitu kinachokera kwenye habari kama pale unapoachwa ujazie mwenyewe.

Was it stroke
Alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa muda mrefu
Or what exactly is the cause
Hata ukijua ugonjwa au sababu nyingine ya kifo ewew unafaidika na nn!?kimsingi Habari imethibitishwa kuwa Ni kweli kafariki hayo mengine Ni Siri ya familia zao boss.
 
Ndio matatizo ya kuzoea kuandika habari za udaku

Mzee Mengi kafa R.I.P

Lakini cause ni nini? Hakuna kitu kinachokera kwenye habari kama pale unapoachwa ujazie mwenyewe.

Was it stroke
Alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa muda mrefu
Or what exactly is the cause
Ugonjwa wa mtu ni siri yake..sio lazima tujue

RIP mzee mengi
 
umeacha tabasamu,safiri salama,tutaonana badae?,may your soul rest in heaven peaceful,leo wewe kesho sisi,...#pumzikakwaamanimengi,
 
Dah, bint mdogo ameshakuwa mjane
Hakuna hajuae kesho yake,,
Kifo ni mawaidha uwe tajiri au maskini haijarishi ni mgonjwa au mzima
hii ni sawa na ule msiba wa mbonde, mbonde alikufa na mshipa wake[emoji849]
Mzee mengi amekufa na pesa anayo kifo ohh kifo ¶kifo hakina uruma kifo ni kiboko yao...
Hebu fafanua hapo kwenye bold please😳😳
 
Back
Top Bottom