TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Watu wema wanaondoka,tumebaki "sisi" mashetani!May the soul of our beloved Reginald Abraham Mengi rest in peace!
Mkuu hapo penye red nenda ukafanye toba,usiandike maneno kwa hisia ukamkufuru Mungu.Aliyekuambia wote waliondoka ni wema ni nani?Wewe unayajua maisha yao kuliko Mungu aliyewaumba?Kila mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu haijalishi yukoje,ndiyo maana kifo hakichagui.Nakushauri wewe na hao mashetani wenzako(kwani kwa kinywa chako mwenyewe umejiita shetani) mpokee Yesu afanyike kuwa Bwana na mwokozi wenu,yaondolewe mashetani yaliyo ndani yenu ili muwe salama.
Mkuu sijui kama unajua kila mtu atakula matunda ya kinywa chake?Hapo ulipojiita shetani ,huyo shetani wa kweli ameshachukua hayo maneno yako na anayatumia ambele za Mungu, kwamba mtu huyu akiwa na akili timamu pasipo kulazimishwa na mtu yeyote amejiita mwenyewe shetani tunaomba uturuhusu tumchukue awe wetu,na kumbuka Mungu ni Mungu wa haki.Nikushauri tena take hii issue serious tubu muda huu kwa kujiita shetani na hao wenzako uliotumia neno "sisi".
Futa hayo maneno hasa kama wewe ni mkristo unahitaji kuwa na bidii kujifunza sana mambo ya Mungu inaonekana katika ulimwengu wa Roho huelewi mambo yanavyotendeka.
 
Poleni famila na ndugu wa Dr Mengi,
R.I.P Dkt Mengi - Watanzania tutakumbuka mchango wako!
 
RIP Mengi,
Poleni kwa Msiba familia ya mzee Mengi, ndugu, Jamaa na watanzania wote kwa ujumla.
 
R.I.P
dah, sasa zile simu inakuaje tena? wahusika wamuenzi kwa kutimiza ndoto yake!
 
Back
Top Bottom