TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

TANZIA Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Abraham Mengi afariki dunia akiwa Dubai, UAE

Alikuwa mnyenyekevu sana, na muungwana. hakubagua watu. jina la Bwana lihimidiwe
 
Kama anefariki 1st May au hata kama ni early 2nd May ni exactly 6 months toka mkewe Mercy Anna Mengi afarini. Hili ni fumbo na funzo kwa watu wote duniani uwe tafiri au maskini. Angelijua hili kuwa baada ya miezi 6 naye angemfuata basi angefanya vyema zaidi kipindi cha kifo na mazishi ya mke wake na mwanzilishi na mmiliki mwenza wa makapuni yote yaliyotajwa (mengi yake) hapo juu.

Mimi sisemi R.I.P kwa sababu msimamo wangu kwa huyu tajiri ulibadilika mno baada ya kifo cha mke wake wa kwanza Mercy Anna Mengi na ile heshima isiyostahili aliyompa.

Halafu watu Bwana. Kwenye zile nyuzi mbili zilizokuwa zina trend hapa kuhusu huyu marehemu na current wife basi kuna waliosema mengi sana kuhusu Gold Digging counting the days.😡😡
We jamaa una roho mbaya sana! Mbona yule mama alizikwa kwa heshima zote kuanzia Dar, moshi kkkt hadi machame? Ulikuwa unafatilia mazishi yake kweli?
 
Acha kupayuka hivi unajua kwann mzee mengi alitengana na mke wake wa kwanza Zogwale

Ova
 
Another Loss in a media industry... Rest in Eternal Peace Dr Reginald Abraham Mengi
Mkuu Joseverest,sio loss kwa Media tuu,ni kwa Tanzania yote na kwa Watanzania wote. Amin amin nakwambia ni mamilioni ya Watanzania walioguswa ama moja kwa moja ama indirect na maisha ya Mzee Mengi.
Hakika Tanzania tumepoteza kweli kweli.
R.I.P Mzee R. Mengi.
 
NOT with IPP

Mkuu wewe ni mwanafamilia nini..?? unapinga sana manzi kujinyakulia IPP, unajuaje kama hakupewa share na mzee mengi.?? then wale watoto unajuaje hawana share

Acha kutukatisha tamaa watu tunaotaka fursa kwa bosslady
 
Rest In peace Mzee Mengi Moyo Wako Mzuri Mungu Akuweke Sehemu salama
 
Baada ya kumaliza kazi, tutavishwa taji !

Ishi katika dunia kana kwamba ni mgeni na tenda mema yenye kumridhisha Mungu kana kwamba utakufa kesho.

Pumzika mahala pema peponi mzee wetu, itoshe kwa kifo kuwa ni mawaidha kwa sisi tuliobaki !
 
Back
Top Bottom