Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaa, hajui kuwa kala miaka 5 ya ziada kutoka 70Yani miaka 75 ni too soon? Hizi bangi huwa mnavuta muda gani?
We jamaa una roho mbaya sana! Mbona yule mama alizikwa kwa heshima zote kuanzia Dar, moshi kkkt hadi machame? Ulikuwa unafatilia mazishi yake kweli?Kama anefariki 1st May au hata kama ni early 2nd May ni exactly 6 months toka mkewe Mercy Anna Mengi afarini. Hili ni fumbo na funzo kwa watu wote duniani uwe tafiri au maskini. Angelijua hili kuwa baada ya miezi 6 naye angemfuata basi angefanya vyema zaidi kipindi cha kifo na mazishi ya mke wake na mwanzilishi na mmiliki mwenza wa makapuni yote yaliyotajwa (mengi yake) hapo juu.
Mimi sisemi R.I.P kwa sababu msimamo wangu kwa huyu tajiri ulibadilika mno baada ya kifo cha mke wake wa kwanza Mercy Anna Mengi na ile heshima isiyostahili aliyompa.
Halafu watu Bwana. Kwenye zile nyuzi mbili zilizokuwa zina trend hapa kuhusu huyu marehemu na current wife basi kuna waliosema mengi sana kuhusu Gold Digging counting the days.😡😡
Mkuu Joseverest,sio loss kwa Media tuu,ni kwa Tanzania yote na kwa Watanzania wote. Amin amin nakwambia ni mamilioni ya Watanzania walioguswa ama moja kwa moja ama indirect na maisha ya Mzee Mengi.Another Loss in a media industry... Rest in Eternal Peace Dr Reginald Abraham Mengi
NOT with IPP
"Upumzike kwa Aman Dr Mengi"Kwa hiyo ulitaka atuandae kwanza JFndiyo atoe taarifa?, labda akamuandae mke wake, sisi humu JF hatuhitaji kuandaliwa
So sad but seemingly true and inevitably hard truth !!Acheni masihara
Amefariki kwa ugonjwa gani ?