Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mimi Ni Miongoni mwao tuliompokea Bwana Wetu Yesu Kristo tukitukuza Ufufuko wake mpaka atakaporudi.Ni swali zuri sana Diana.Biblia katika Yohana 9:31 inasema hivi,
“Tunajua kwamba Mungu hawasikilizi watu wenye dhambi." Na pia
katika Isaya 59:2 tunaona maandiko haya: “But your iniquities have separated you from your God; your sins have hidden His face from you, so that He will not hear” (Isaiah 59:2).So ni kweli kwamba Mungu hawasijilizi wenye dhambi.Sasa swali lako ni kwamba hivi wapo watu ambao hawana dhambi?Jibu ni ndio,ila ni wale tu ambao wamemkiri Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao.Hawa wanasamehewa dhambi zao kwa kuwa Bwana Yesu alizichujuwa alipowambwa msalabani.Hawa ni watakatifu kwa kuwa utakatifu walio nao si wao,ila ni wa Bwana Yesu mwenyewe,so Mungu anapowaangalia hawaoni wao,ila anamuona Bwana Yesu ambaye wamemkiri kwamba amechukua dhambi zao msalabani.Wewe kama hujamkiri Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako Mungu anakuona wewe na dhambi zako!Mkiri Bwana Yesu leo Diana ili usamehewe dhambi zako na Mungu akuone kwamba ni mtakatifu wake.
Jizungumzie wewe utakumbukwa kwa lipiKuna watu watakumbukwa kwa kuingiza watu mpirani bure! Wakitutoka hatuna walichotuachia zaidi ya familia zao kuhamia ulaya au Canada.
MENGI, unastahili sifa za uhai wako.
"Tunamuombea Marehemu Reginald Mengi Mungu amrehemu amfikishe kwake." Nipe maandiko yanayo prove kwamba your statement in red is possible,maana mihemko haisaidii sana katika mambo ya kiroho.Tunakwenda by spiritual facts,sio mihemko.Na Mimi Ni Miongoni mwao tuliompokea Bwana Wetu Yesu Kristo tukitukuza Ufufuko wake mpaka atakaporudi.
Tunamuombea Marehemu Reginald Mengi Mungu amrehemu amfikishe kwake.
"Tunamuombea Marehemu Reginald Mengi Mungu amrehemu amfikishe kwake." Nipe maandiko yanayo prove kwamba your statement in red is possible,maana mihemko haisaidii sana katika mambo ya kiroho.Tunakwenda by spiritual facts,sio mihemko.
Brother nimekuelewa ni Warumi 3:23 na hii Inatokana na rehema zake Mungu. rehema ni huruma , fadhili ,Upendo unaotoka kwa Mungu ingawa binadamu wametenda dhambi. Ndiyo pale inaposemwa tunaishi kwa rehema za Mungu. Lakini huruma ya Mungu mwisho wake ni wakati wa hukumu. Ndiyo hapo Brother Areafiftyone anaposema binadamu maamuzi ni yako unataka kwenda wapi baada ya kuondoka duniani kutokana na ulivyoishi kulingana na scripture ( neno la Mungu). Binadamu akishakufa hakuna second chance . Kufa ni mara moja na baada ya kufa ni hukumuAcha kupotosha
Logic yako ya kuwa Mungu hasikilizi maombi ya wenye dhambi si kweli
Hiyo ni sawa na kusema Mungu hasikilizi maombi ya mtu yoyote
Kwa maana Yesu mwenyewe anasema mahali fulan "wote tumefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu "
Mahali pengine anasema "Mtakatifu ni mmoja tu "
Mkuu hapo penye red naomba nikusahihishe hakuna sehemu maandiko yanasema mtakatifu ni mmoja tu,naamini ulikuwa unarefer Marko 10:17-18,pale Yesu alisema hakuna aliye mwema ila mmoja tu.Acha kupotosha
Logic yako ya kuwa Mungu hasikilizi maombi ya wenye dhambi si kweli
Hiyo ni sawa na kusema Mungu hasikilizi maombi ya mtu yoyote
Kwa maana Yesu mwenyewe anasema mahali fulan "wote tumefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu "
Mahali pengine anasema "Mtakatifu ni mmoja tu "
Ulitaka upate uhakika wapi??
Roho Mtakatifu lazima aendane na maandiko,vingnevyo there is every possibility that it could be inspired by the devil,of which it is.Roho Mtakatifu Kanifundisha.
Inatia huruma sana sanaNaona hapo Bomangombe watu wameamia kuunga kwa miguu kwa kilio.