Sifa za kaijage ni mgombea kuwa na PhD ya uonevu uovu uchakachuaji unyanyasaji kwa wapinzaniMwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Huyu mwanajumuiya mwezangu asijichanganyeMwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!
Jaji kaijage ajiandae kuwa na kesi kwenye mahakama za kimataifa na Pia ajiandae kusomewa Albadiri endapo atawahujumua chadema kama alivyopangaNafikiri ni wakati muafaka wa kumchuja jiwe hapo, majaji wanatakiwa kuwa makini kabisa na hili.
kwa kutumia sababu hii, basi ni vyama vitatu pekee vina uwezo wa kutimiza hili... ACT, CCM na CHADEMA...Moja ni kudhaminiwa na watu 2000 katika mikoa 10, walau 2 iwe kutoka Zanzibar!
"....miaka mitano kabla ya tarehe ya uchaguzi hajawahi kutiwa hatiani katika mahakama yoyote kwa kosa la kukwepa kodi yoyote ya serikali"Sifa izo apo [emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1533411
bila shaka mnamuogopa sana!Lisu out
Uteuzi wa TL shakaniHapo ndio patamu bwashee!
Huo mtego wasithubutu!Hawezi kuthubutu kumkata Lissu kama anaitakia mema Tanzania
Kama ni hivyo nadhani utaratibu huu sio sahihi,kwanini wapoteze mda na rasilimali kumpatia mgombea form kama hana sifa sitahiki? Nadhani mchujo ulitakiwa uanzie hapa kwenye kuwapa form wagombea,,wapewe wenye sifa pengine kama ni kumuengua mgombea iwe kwa pingamizi.Form anapewa yeyote atakaye pitishwa na chama chake ,ata wewe Kama hauna sifa chama chako kikikupitisha Basi unachukua form,.kazi inabaki kwao kuangalia sifa zao
Sio utaratibu mzuri. Uteuzi wa Tume ni 25.08.2020. Kampeni zinaanza 26.08.2020. Kwahiyo wakati mgombea/mtia nia aliyekatwa akihangaika na rufaaa au hadi huko mahakamani ikiwa atalazimika kwenda waliopitishwa wanaendelea na kampeni!!!?Watu waache uzushi, kwenye hii hatua hakuna wa kukatwa ila baada ya huo uteuzi ndipo kuna nafasi kwa wenye kutoa pingamizi kwa mgombea yeyote kuweza kufanya hivyo.
Na atakayewekewa pingamizi lazima tume imsikilize na hata akipigwa chini na hiyo tume bado ana haki ya kwenda mahakamani.
Lakini endapo Lissu atafanyiwa figisu na vyombo vyote hivyo ni Tanzania ndiyo itakayokuwa kikaangoni baada ya huo "Uchaguzi" pamoja na huyo atakayekuwa anafagiliwa aupate urais kiulaini. Itaonekana wazi kuwa yoote hayo yamekuwa "Premeditated", itakuwa ni hatari kwa mustakabali wa taifa hili. Let us wait and see.
Watanzania wote hali zetu ni mbaya, anaetuongoza alishatamka hadharani kwamba yeye ni kichaa.Jibu unalo wewe kwamba kama unajiona unaongozwa n kichaa basi wewe una hali mbaya sana kiakili.
HahahaaaaSio utaratibu mzuri. Uteuzi wa Tume ni 25.08.2020. Kampeni zinaanza 26.08.2020. Kwahiyo wakati mgombea/mtia nia aliyekatwa akihangaika na rufaaa au hadi huko mahakamani ikiwa atalazimika kwenda waliopitishwa wanaendelea na kampeni!!!?
Kumbe mnajua kabisa kua Mgombea wenu Hana sifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jaji kaijage ajiandae kuwa na kesi kwenye mahakama za kimataifa na Pia ajiandae kusomewa Albadiri endapo atawahujumua chadema kama alivyopanga
Hizo sifa ni zipi? ziwekwe wazi mapemaa ili wajipime kabla ya kuzirejesha, na sio zitafutwe baadaeNasisitiza Wagombea wenye sifa tu
Jecha alimkata maalim Seif usisahau hilo!Huo mtego wasithubutu!
Kujipanga kufeli kabla ya mtihani tayari kuna tafsiri nyingi... ila tukumbuke kufaulu ni matokeo ya usikivu, kufata sheria na miongozo pamoja bidii ya muda mrefu, hakuna miujiza hapoKumbe mnajua kabisa kua Mgombea wenu Hana sifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema uteuzi wa wagombea Urais wa JMT utafanyika tarehe 25/08/2020.
Jaji Kaijage amesisitiza kuwa ni wagombea wenye sifa ndio watakaoteuliwa kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
Chanzo: ITV habari!