Mwenyekiti Taifa na CCM yako hongera kwa Kuachana na ‘afadhali’ Shaka na Kutua kwa ‘Potelea mbali kabisa’ Sofia

Yaan kila nkitafakari ile kauli ya mume wangu anasemaga "wanawake akili zenu ni za kuvukia barabara" naanza kuamini to some extents kwa haya yanayoendelea.....
Sweet16 kumbuka pia Mwenyezi Mungu alimwumba mwanamke kuwa msaidizi wa mwanamme na si vinginevyo. Hivyo kauli ya mme wako ni sahihi kabisa.

Na kuhusu hoja kuu ni wazi CCM inasafiri katika bahari ya tufani
 
Tafadhali siitwi GENTAMYCIME aliyeiiga hii Brand ID yangu bali naitwa GENTAMYCINE sawa Mkuu?

Aliyeniiga ( iiga ) amesahau na Kuiga na IQ yangu ya Kutukuka pia na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer kama nilivyo Kiasili.
 
Nimekuelewa mkuu nadhani ni wakati wa ku-quote sikuzingatia Hilo kuangalia M vs N ! Nisamehe kwa Hilo turudi kwenye mada nilikua nakuadress wewe
 
CCM wanaweka kipaumbele kwenye kurithisha mikoba kwa watoto wao, afadhali JPM alikuwa na uthubutu wa kuvuta vipaji kutoka sehemu nyingine, sio kukomaa tu na watu viazi kisa majina ya baba zao.
Vipaji vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…