Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

Tatizo la ccm ni kokololo wanaokota Kila kilcho mbele Yao ukute huyu SI mtanzania alikimbia genocide huko Rwanda anakuja kulianzisha Tena nchini kwetu.
 
Halafu utashangaa dishi kama hili linapewa Mkoa kwa kufanya kazi nzuri yakutetea chama
 
UVCCM ni jeshi la akiba linawajibika kwa mwenyekiti wa chama.
 
Apunguze kujikomba Kwa viongozi wa kuu wa chama Aina hii ya viongozi ndiyo wanafanya wapinzani wanakipiga mawe chama . Ni kweli Uvccm na jumuiya zingine ziko na wajibu wa kukitetea chama katika hali zozote na viongozi wake lakini si Kwa kukuza Mambo huku wafanyavyo wazee wa fursa, uchochoro aliouchonga Raisi Samia wa Chawaz inekuwa ni shida kubwa kwa ustawi wa CCM na nchi Kwa ujumla imefika wakati hata mahali pa kulekebisha mambo nako wengine wanaleta upuuzi wa kutetea.
c.c Nchimbi:
Fagia virusi hivyo ili chama kuweze simama vizuri na kujilekebisha.
 
[emoji7]
 
'Interehamwe'
 
Tatizo la ccm ni kololo wanaokota Kila kilcho mbele Yao ukute huyu SI mtanzania alikimbia genocide huko Rwanda anakuja kulianzisha Tena nchini kwetu.
Kauli ametoa mwanaCCM tena bila ya kutumwa na chama inakuwaje unakishambulia chama ilihali msemaji wake si huyo UVCCM....
 
Pambaneni wenyewe kwa wenyewe...!!!! Makonda kasema wengine ni mawaziri, nendeni kwake akawape list ya majina and then mkawapoteze mmoja baada ya mwingine..!!

Na kwa taarifa yenu, akipotea yeyote kuanzia sasa, wa kwanza kuhojiwa mtakuwa nyie.


#Mtatajanatumsiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…