Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

UVCCM mjitafakari. Hizi siasa za kupotezana sio maono ya mwenyekiti Mama Samia. Mama hana siasa za kipumbavu kama hizi.

TUKIWAPOTEZA WANAOMTUKANA RAIS SAMIA POLISI MSIWATAFUTE

Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.

Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani Ngara alipokutana na viongozi pamoja na wananchi katika mamlaka ya mji mdogo wa Rulenge Aprili 16, Mwaka huu.

Amesema kuwa kumekuwepo na tabia ya watu wanaotumia mitandao kumchafua Rais Samia pamoja na viongozi wengi huku wengine wakiwa ni miongoni mwa viongozi wa CCM ambapo amelitaka jeshi la polisi kutowatafuta watu hao pindi watakapopotezwa.

@sirallawi
#WasafiDigital
Uvccm wanataka kuwapoteza Mawaziri?

Hii sasa isifumbiwe macho kama enzi zile wapinzani walipotea sana.
 
Kauli ametoa mwanaCCM tena bila ya kutumwa na chama inakuwaje unakishambulia chama ilihali msemaji wake si huyo UVCCM....
Alikuwa aki address wanachama wenzie na ameongea sio kama mwananchi wa kawaida bali mwanachama mwenye influence na ni mwenyekiti.
 
Nawapongeza sana uvccm kwa kusema wazi wazi kwamba watawapoteza wote wanakosoa viongozi wa CCM na wala jeshi la polisi lisiangaike kuwatafuta

Nikisema CCM ni gang kama ile gfamily 9 ya Haiti au kama ile Pablo Escobar ilijaa watekaji, vibaya, wala rushwa, mafisadi, wahujumu uchumi wala usishangae.
 
CCM tena ?!! [emoji44][emoji44]

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa Kagera si msemaji wa CCM
...
 
Eti ntawapoteza...yeye kama nani
Huyu anataka kuleta chokochoko
Ya watu watandikane wenyewe kwa wenyewe
Anyway mtu mwenyewe katoka ngara,ngara wana miunganiko mingi

Ova
 
Mpuuuzi mtupu huyu mtu na sijui ccm inatoka wapi na watu wajinga kiasi hiki!
Yaani yeye ana mamlaka ya kuua! Shame on him!
Tukumbuke kila Taifa lina namna yake ya kushughulika na mambo kama haya.
Kuna Polisi, TISS na wana wabobezi ktk kushughulikia haya mambo sasa kijitu kimejishibia maharage mabovu kinadai uhuru wa kuua!
Usiturudishe awamu ya 5 we kiumbe uliyekosa akili!
 
Nitolee upumbavu hapa

Nitolee upumbavu hapa.
Duh, sawa.

Ushauri wa bure; kama unahisi ulichokiandika umekiweka kwa bahati mbaya na hauko tayari kukifafanua basi njia nzuri ni kufuta au kuedit post yako... Kama unahisi ulichokiandika ni sahihi ila ni uelewa wetu tu mdogo ndomaana hatujaelewa basi njia nzuri ni kutufafanulia kwa adabu (rejea quran 93:10)
 
Sasa sijui anayema kweli hapa ni nani. Huku M/Mwenyekiti Taifa anasema "Chini ya CCM, hakuna mwenye haki ya kukatisha uhai wa mtu mwingine".....huku Mwenyekiti UVCCM Mkoa wa Kagera pia anakuja na yake ya kupoteza watu wengine. Hizi kauli zinatoka ndani ya taasisi moja, sasa nani mkweli??

Kauli ya Kinana: MARA: KINANA asema chini ya CCM hii hakuna mwenye haki ya kukatisha uhai wa mtu mwingine

Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha.

Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani Ngara alipokutana na viongozi pamoja na wananchi katika mamlaka ya mji mdogo wa Rulenge Aprili 16, Mwaka huu.

Amesema kuwa kumekuwepo na tabia ya watu wanaotumia mitandao kumchafua Rais Samia pamoja na viongozi wengi huku wengine wakiwa ni miongoni mwa viongozi wa CCM ambapo amelitaka jeshi la polisi kutowatafuta watu hao pindi watakapopotezwa.

Pia soma Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

SOURCE WASAFI TV
 
Mpunbavu sana huyu.
 
Huyu kwa nini asiuwawe tu?
 
Kagera kuna wahutu na watusi wengi kutoka nchi jirani, huyu ni mmojawapo kama alivyokuwa marehemu kichaa
 
Usalama wa hiii nchi siwaelewi kazi yao.

Tiss wamekaa kaa tu kutuoshea mitaani kazi ya kuwatafuta watu wasiojulikana hawawezi.

TCRA na vitengo vingine vya usalama wanasajili laini kwa alama za vidole ila kukamata matapeli/wezi mitandaoni wanataka wananchi wawasaidie.

Sasa vitendea kazi walivyo navyo ni vya kazi gani.

Poor intelijensia nchi haina usalama wowote hiii.
 
Kama nchi ya Tanzania ingekuwa kweli inaogozwa kwa Misingi ya Sheria na Haki baada ya Maneno ya huyu Mpumbavu wa CCM Kagera Bwana Faris Buruhan niilitegemea hivi sasa Polisi Tanzania na hata Wizara ya Mambo ya Ndani nchini ingemuita na kumkamata haraka kwani kwa Matamshi yake tu ameshatuambia Watanzania kuwa wale Watesi ( Critcs ) Wote wa Serikali ya CCM ama Waliopotea au Waliouwawa au hata Waliotekwa wote walifanyiwa hivyo na Chama Cha Mapinduzi ( CCM )
 
Back
Top Bottom