Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

Mtuletee na maoni yake baada ya mwenyekiti wake wa CCM TAIFA kutoa karipio!! Hawa kima wapumbavu sana.
 
Alitakiwa awe mshukiwa namba moja
 
**** la mama ake
 
Huyu kawaida asee ni mjinga sana huyu jamaa
 
Mimi ni mwanaCCM ila huyu mwenyekiti wa UVCCM kaandika upumbavu mtupu. Tatizo UVCCM ya sasa wengi wao hawana uwezo. Wengi ni watoto wa vigogo waliowekwa na baba zao.
Mwambie hyo mzanzibari na mwana CCM mwenzako **** la Mama ake limeharibika analiwa Kiboga Na Majini
 
Hawa maCCM ni mokund# sana. Nani anaweza kuzunguka na plate number zisizoeleweka mchana kweupe na kunyakua watu? Kesi ya Kombo anaijua? Anaweza kusingizia chadema
 
Samia ni dictator anaua watanganyika,kumbe AMEWEKA Momboko kuja kuuza watu
 
Namna yao yakutumia maneno unaweza kudhani watu wa maana: Eti inanipa ukakasi, Jinga kweli! Uhai wa mtu umeondolewa huyu kichwa kikubwa focus yake iko kwa mtoa taarifa.

Hata aibu hana aandike RIP. Kuna siku mabwana zenu wakiwa hawapo mtatoa chozi jicho moja.
 
Bila kumtaja Jiwe mdomo wako utabaki unawasha na kunuka kama shimo la choo!!
Jiwe yupo motoni anateseka kwa matukio kama haya haya
Wacha Mungu aingilie kati tena
 
Kwanza hata huyo aliye kuwa anatoa pole alikuwa anatoa pole kimachale chale kama anamagutu magutu. Hata kama angekuwa amejinyonga mwenyewe au ameuwawa na CDM kuwapa pole wafiwa ni uungwana hawa watoto wa sikuhizi hawana Maadili wala kujua mda sashihi wakuzungumza jambo fulani
 
Nimejifunza kiwa makini na kauli ya mchawi kuwahi kufika msibani.

Kuna namna wanajua who is behind of these issues

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…