NTWA MWIKEMO
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 734
- 366
Nimecheka Saaana, hivi wale Walimu, Mafiasa Kilimo kumbe nao ni maofisa wa usalama duuuuu . Ngumbe wapo Wengi. Ila hao jamaaa walianzia Wapi mbona ni Wakazi na wanaishi PembaDuniani hakunaga uchaguzi wa haki....upo uchaguzi huru!
Wale waliosema wapemba wana elimu ya madrasa tu wasubiri tuwafunze elimu ya madrasa ikoje...Wapemba siyo kama wachaga wanaweza kukinukisha kweli!
Hii nchi haina hata viongozi wa dini?
shangaa.Yaan ccm na utekelezaji wote ule wa ilani kama wanavyojigamba, bado waoga kwenye kura
SureWanasubiri sadaka za Dictator Pombe kutoka makanisani
Mkuu ficha upumbavu ,hapa Ni mahali pa wazi...huo ufahamu uishie kwa mkweo na mkeo tu!Nimecheka Saaana, hivi wale Walimu, Mafiasa Kilimo kumbe nao ni maofisa wa usalama duuuuu . Ngumbe wapo Wengi. Ila hao jamaaa walianzia Wapi mbona ni Wakazi na wanaishi Pemba
Tusije tukaombana poo lakini.Bahati nzuri liwao na liwe si kwa CCM peke yake. Linaweza likawa kwao wao wenyewe ACT
Hatujawahi kumuona Magufuli mbele akituliza fujo, kwahio hata yeye hana shida yakua mbele, vijana wake tutakua mbele.Awe mbele tu asije akawatelekeza
Awe mbele tu asije akawatelekeza
Sasa uchaguzi wa nini. Mnalo safari hiiUchaguzi si kigezo cha kukabidhi nchi kwa Mawakala wa Masultan
KULINDA MAPINDUZ ni jukumu la lazima la Rais na JPM anajua hilo