Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kwa masikitiko makubwa kinatangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama, Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa, kilichotokea asubuhi, Jumatano, Februari 10, mwaka huu katika Hospitali ya Mlonganzila, alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Zaidi. soma: Thomas: Baba yangu Arcado Ntagazwa, alikuwa akisumbuliwa na tatizo la changamoto ya kupumua na alipata matibabu mbalimbali