TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

Una akili timamu wewe?
nina akili kukuzidi mimi nilifanya Mensa Test ya kupima IQ natambuliwa kimataifa kwa IQ kubwa

katest kama akili unazo na IQ test ni bure tu andika google Mensa Test itakuja utaifanya online na majibu watakupa hapo hapo ukimaliza kujibu utajua kama wewe una akili au bwege ingia hata sasa hivi upimwe IQ yako

www.mensa.org
 
Una akili timamu wewe?
Mkuu ni kweli huyu hana akili timamu kabisaa.

Wenye akili timamu wanajulikana ni wale wote ambao nchi hii akifa mwana ccm, watumishi wa umma/ binafsi n.k basi hao woote huwa wanakufa kwa Corona, yani kifo chochote kitakacho tokea wao wanaamini Corona ndio imeua.

Ila akifa kiongozi wa Chadame huwa hawaamini Kama Corona inaweza kuhusika na hawato itaja kabisa.

Hao ndio wenye akili timamu TZ hii hivyo huyu jamaa nakubaliana na wewe kuwa akili hana huyu hongera sana kwako mkuu kwa kuwa mtu mwenye akili timamu msamehe bure tu huyu.
 
nina akili kukuzidi mimi nilifanya Mensa Test ya kupima IQ natambuliwa kimataifa kwa IQ kubwa

katest kama akili unazo na IQ test ni bure tu andika google Mensa Test itakuja utaifanya online na majibu watakupa hapo hapo ukimaliza kujibu utajua kama wewe una akili au bwege ingia hata sasa hivi upimwe IQ yako
Roporopo
 
Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya
Umeelewa maana ya "Taarifa zaidi kuwajia"?
 
Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya
Umeambiwa taarifa zaidi utapewa hivi punde hivo subiri
 
Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya
Ukweli mtupu 100%
 
Una akili timamu wewe?
ingia www.mensa.org kafanye mtihani kukupima kama una IQ kubwa sababu mtu aweza kuwa profesa lakini ana IQ ndogo kakariri tu masomo

mimi Mensa IQ test nimefanya na ni certified kuwa niko intelligent pamoja na kuwa na elimu kubwa nashauri kila mwenye elimu kubwa au ndoo afanye Mensa Test kupima IQ yake ukiwemo wewe
 
poleni ila iundwe kamati ya msiba itakayoshirikisha ndugu na viongozi wa Chadema ila muwe makini michango yote ndugu ndio mpokee kuanzia chama kinachangia nini.Na muwke wazi kuwa chama kimevhangia hiki na hiki vinginevyo mtapigwa pesa watu watakula pesa kwa mgongo wa marehemu ya Ndesamburo yasijirudie tafadhali
Fedha haiwezi kuwa na thamani kuliko ndugu yetu - hakufariki ili tutajirike - fanyakazi huko ndiko utapata kulingana na jasho lako.
 
Nitashangaa familia ya Waziri mstaafu ikikubali azikwe ki Chadema chadema... u know, magwanda na ma bendera kufunika mwili, ma spichi ya propaganda na shutuma za ki sela sela za kina Sugu n.k. n.k. I hope and pray mke wake na watoto ni wakubwa, wanajielewa na wanajitegemea kimawazo.
 
Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya una kichwa kama cha corona
Udini, ukabila na uvyama, havina Maana katika matukio kama haya, matukio ambayo utake usitake Lazima ufe, Haina Afya hata kidogo kuendeleza utani usio na tija

Huyo anayeandika mambo ya Corona wanapokufa sjui wa CCM, achana naye, Mimi Naamini ni ujinga tu wa kutafuta like ambapo hata yeye akikaa na kutafakari, inamuumiza moyo,

Like haziwezi kuleta faraja yoyote Kwa mtu anapoleta nyuzi zinazomsuta hata yeye mwandishi

Mambo ya kufanyia siasa yapo, lakini kuna mengine yanahitaji utu, na akosaye utu juu ya mambo yenye utu, yaletayo simanzi huyo ni wa kupuuza

R.I.P na poleni sana wafiwa wote
 
Apumzike kwa amani. Nakumbuka huyu mzee alisharudi ccm
 
Back
Top Bottom