Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Maneno yako nitayakumbuka Hadi mwisho wa uhai wangu Chadema ni manafiki Sana angekuwa CCM yangetoa maneno yaliyojaa Taharuki kwa Watanzania lkn sasa utasikia pumzika Kamanda hata Kama Mgambo hakupita pale kishumundu Kijiji cha Ujamaa.Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona
wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya una kichwa kama cha corona