TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya una kichwa kama cha corona
😆😆😆😆 Ni msiba lakini nimejikuta nacheka tu !
 
nina akili kukuzidi mimi nilifanya Mensa Test ya kupima IQ natambuliwa kimataifa kwa IQ kubwa

katest kama akili unazo na IQ test ni bure tu andika google Mensa Test itakuja utaifanya online na majibu watakupa hapo hapo ukimaliza kujibu utajua kama wewe una akili au bwege ingia hata sasa hivi upimwe IQ yako

www.mensa.org
Kama mliandikiwa u Dr !!. Ndiyo washindwe kukuandikia hiyo Mensa test ?!
 
Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya una kichwa kama cha corona
boya wewe chadema haitokufa kamwe
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kwa masikitiko makubwa kinatangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama, Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa, kilichotokea asubuhi, Jumatano, Februari 10, mwaka huu katika Hospitali ya Mlonganzila, alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Poleni saana chadema. Shida ni ninii jamani??
 
Sasa matusi yote ya nini? kaleta taarifa za msiba unatoa conclussion aisee kuna members mnatisha! Labda ungeuliza tu je kasikia au kaambiwa?
Yakiwapata na nyie mnakuwa wapole, lakini ingekuwa viongozi wa upande flani hapa mungekuwa mnashangilia.
 
Naona amekufa mtanzania ambaye ni mwana cdm. RIP NTAGAZWA
 
michango hapana chama kisikusanye iende direct kwa famiia yake
Umekulia katika mazingira magumu sana ! yaani kwa vile jiwe alitafuna hela ya tetemeko basi unadhani kila mtu ni mwizi !
 
Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

Wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya
Mleta maada kachanganyikiwa na Corona!!
 
Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

Wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya
Kwenye tohara ya bure under USAID hujafika bado?
 
Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

Wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya
Kuhani kuwa na tabia za shari na vijineno ni aibu
 
Back
Top Bottom