TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

Wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya
Kwa mujibu wa mashabiki wa chadema kila anaekufa sasa hivi ni corona. Kwa hiyo hata huyo corona imemuondoa
 
Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

Wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya

Mbona wamesema ni kale ka ugonjwa ketu? Au ulipenda waseme pneumonia, uzee au ajali, hata ya boda boda?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kwa masikitiko makubwa kinatangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama, Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa, kilichotokea asubuhi, Jumatano, Februari 10, mwaka huu katika Hospitali ya Mlonganzila, alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Zaidi. soma: Thomas: Baba yangu Arcado Ntagazwa, alikuwa akisumbuliwa na tatizo la changamoto ya kupumua na alipata matibabu mbalimbali

Apumzike kwa amani mhanga mwenzetu huyu aliyetelekezewa gonjwa.

Haki yetu ya kuishi tuidai wenyewe. Kuwaachia wengine hawa hata kutia neno tu ni sawa na kuwasabiria fisi bucha.
 
Back
Top Bottom