TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Malaika WA Mbinguni na watakatifu wote Mbinguni wamlaki na kuufurahia utukufu wa Mungu Mbinguni. RIP mzee wetu.
 
Mleta mada Wakifa chadema huandiki wamekufa kwa Corona

Wakifa wengine ukiwa huna ushahidi wowote wa death certificate unasema wamekufa kwa Corona tukibisha unakomaa ohhh mnaficha taarifa mi CCM nyie!!! wakifa Michadema ohhh taarifa itafuata baadaye tukipata death certifice!!!! mnafiki mkubwa wewe usiye na haya
 
Nimekuelewa sana mkuu!
 
Chadema hawafichagi! Msome vizuri amesema taarifa zaidi zinakuja hivi punde. Kama ni Korona watasema tu hawana utamaduni wa kuficha ukweli; ili iweje? Just wait. Apumzike kwa amani Mzee Ntagazwa; mwendo ameumaliza, demokrasia ameitetea - Mola ampe pumziko la amani.
 
Wanafiki wataifa hili wanajulikana na ndio wanaoli angamiza taifa.
 
Sasa matusi yote ya nini? kaleta taarifa za msiba unatoa conclussion aisee kuna members mnatisha! Labda ungeuliza tu je kasikia au kaambiwa?
 
Ee Mwenyenzi Mungu uilaze Roho ya Marehemu mahali Pema Peponi na Amwangazie Mwanga wa Milele
Amina
 
Tafadhali tusianze tu Kusingizia kuwa Popo wa Kichina kutoka Jimbo la Wuhan ndiyo wamehusika Kumpumzisha milele hivi bali tuamini na tujue tu kuwa ni Kazi yake Mola / Maulana.

RIP Kwake Nguli na Pole nyingi kwa Wanafamilia na wana CHADEMA wote pia kwa Kuondokewa na moja ya Nguzo yao Kuu Kiushauri na Kimalezi pia.
 
Una akili timamu wewe?
 
Yaani unaleta siasa mpaka msibani, vumilia kidogo tumstiri marehemu turumbane tena kwa hoja madhubuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…