TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

Kwa mujibu wa mashabiki wa chadema kila anaekufa sasa hivi ni corona. Kwa hiyo hata huyo corona imemuondoa
 

Mbona wamesema ni kale ka ugonjwa ketu? Au ulipenda waseme pneumonia, uzee au ajali, hata ya boda boda?
 

Apumzike kwa amani mhanga mwenzetu huyu aliyetelekezewa gonjwa.

Haki yetu ya kuishi tuidai wenyewe. Kuwaachia wengine hawa hata kutia neno tu ni sawa na kuwasabiria fisi bucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…