Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mkoa wa Mbeya asema CHADEMA imejaa watu wenye roho mbaya, asema uchaguzi wa chama umejaa rushwa ya kutisha

malaika wanaparuana wenyewe, kibaraka alianzisha na wengine wanafuata
 
Kwa mana hio hawa CDM wakishika nchi rushwa itatawala ?
Mbona una majibu halafu unauliza swali tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Œ๐Ÿพ

Itakuwa hatari na nusu mazeee.

Iringa na mbeya unasikia-"Mabilionea" wachukua fomu. Unategemea nini? Rushwa!
 
Hii inaonesha demokrasia ndani ya CHADEMA inaimarika na chama kukua. Chama kisicho na kashi kashi ni chama mfu kama vilivyo vile 11 vilivyolaani CHADEMA juzi kwa kauli ya Tundu Lisu

Ndani ya ndoa tu wanakuwa wawili na wanapisha itakuwa CHADEMA yenye mamilioni ya wanachama?

Kwanza watu kama huyu alielalamika wasingekuwepo CHADEMA ingebidi tushangae na kuogopa kuwa chama kinakufa.
 
Hakuna upinzani pale...... Kwa mizania ya kisasa Chadema hawana upinzani wowote ule...
 
Haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ