SIUNAONA MNAANZA KUUMBUANA BADO UNATAKA USHAHIDI WA KONYOOOO?Wapi tulipokula, halafu ni wapi pana huo ushahidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIUNAONA MNAANZA KUUMBUANA BADO UNATAKA USHAHIDI WA KONYOOOO?Wapi tulipokula, halafu ni wapi pana huo ushahidi?
malaika wanaparuana wenyewe, kibaraka alianzisha na wengine wanafuataUkiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa Mbeya.
Ameendelea kusema kwamba chama hicho kimejaa watu wenye roho mbaya sana kuliko hata CCM.
Full video, tembelea youtube page ya Jambo
View attachment 2984542

Huna majibu ila una matusi ya kizamaaniii! hivi hamuoni matusi mapya?SIUNAONA MNAANZA KUUMBUANA BADO UNATAKA USHAHIDI WA KONYOOOO?
Si ndio sawa ili Chadema ife au?Naona Bundi amepiga kambi, naiona NCCR Mageuzi iliyokuwa na mapambano mpaka ikavunjika
Sasa si pigeni vigelegele!Imeshakufa, tunasubiri tamko la kitabibu tu
Mbona una majibu halafu unauliza swali tena😂😂😂👌🏾Kwa mana hio hawa CDM wakishika nchi rushwa itatawala ?
Kabisa.Ni kama walivyomlambisha Mangula,Kolimba na Ole Mushi.CHADEMA are pure murderers and draculas as well!Hiyo ni ngazi ya mkoa huko taifa ndio wanatekana na kurambishana sumu!
Haya.Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa Mbeya.
Ameendelea kusema kwamba chama hicho kimejaa watu wenye roho mbaya sana kuliko hata CCM.
Full video, tembelea youtube page ya Jambo
View attachment 2984542
Namzungumzia chacha wangwe mpaka wakavurumishwa kwenye msiba wakatolewa kwa milango ya nyuma!Kabisa.Ni kama walivyomlambisha Mangula,Kolimba na Ole Mushi.CHADEMA are pure murderers and draculas as well!
Huyo mzee unaishi nae huko mbeya mfuate ukamuulize ukutoka hapo umfuate lissu!Wapi tulipokula, halafu ni wapi pana huo ushahidi?