Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja.

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe yuko ziarani mkoani Mara.

Taarifa rasmi itawajia punde.

Kazi Iendelee!
 
Magufuli.jpg
Magufuli.jpg

Mtoa mada una cha kujifunza juu ya picha hii!??

Watatu hao wameondoka chini ya mwaka 1!

Nyie endeleeni watu wakisema na aliye juu anatoa majibu
 
Yaani hataki kutwambia amekutwa na Hatia gani ila unataka kutwambia tu Mbowe alikuwepo?

Halafu unajiita mwandishu wa habari?
 
Masahihisho kidogo: Ni mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Rorya.
Kosa: Wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2020; alishtakiwa kua alimtusi kada wa CCM. Kesi iliamriwa mwaka huu mwezi wa tatu kama sijakosea mahakama ya mwanzo Shirati na Hakimu alitoa hukumu ya kua mwenyekiti wa Chadema alishinda kesi.

Baadae kada wa ccm alikata rufaa mahakama ya Hakimu mkazi Tarime.
Leo ukumu imetoka na mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Rorya amekutwa na hatia ambapo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini TZS 200,000/. Hivyo amelipa faini na anaendelea na maisha mengine.
 
Habari hii ni pigo la chembe kwa mleta mada.
 
Bwashee, mbowe yuko kanda ya ziwa kupambana na Mwendazake, anataka kuhakikisha wanamshinda kwenye uchaguzi wa 2025, siyo kushughulikia masuala madogodogo kama hiyo kesi ya mwenyekiti wa chama wa wilaya.
 
View attachment 1803761View attachment 1803761
Mtoa mada una cha kujifunza juu ya picha hii!??

Watatu hao wameondoka chini ya mwaka 1!

Nyie endeleeni watu wakisema na aliye juu anatoa majibu
Nadhani tujikite kwenye kujenga hoja za msingi. Mwenyezi Mungu ana namna yake ya kuamua na haitaji kuwa na msemaji.
Basi mwenyezi Mungu angejibu kwa visasi kama unavyotaka kutuaminisha Leo akina Bush na Blair na Belgians wasingekuwa hapo kwa unyama waliofanyia wengine.
 
Back
Top Bottom