Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

Hamna cha vifo wala nini huyo jamaa bahati yake ameonewa huruma na mahakama.
Amehurumiwa tena, au hakimu ametoa hukumu kwa mujibu wa sheria?! Zama za kutegemea Huruma za watu kwenye mambo ya kisheria zilizikwa mwezi March 2021!
 
Mwenyekiti wa Bawacha Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja.

Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe yuko ziarani mkoani Mara.

Taarifa rasmi itawajia punde.

Kazi Iendelee!
Kwa nini taarifa rasmi ifuate baadaye? Unatuarifu Mwenyekiti wa BAWACHA amehukumiwa kwenda jela, na jana tu alihudhuria kongamano la CHADEMA; Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, akiwepo hapo mkoani. Msomaji anapata hisia kwamba jela imemsibu kutokana na kuhudhuria huko kwa kongamano alilohudhuria Mbowe. Kauli yako inaleta sintofahamu isiyokuwa ya lazima kwa kutokuwa kamilifu. Kama bado hujapata habari zilizo timilifu, bora kuvuta subira mpaka hapo utakapopata habari kamili.
 
Back
Top Bottom