johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu mzee ni mbea sn msamehe bure, labda Mbowe ni Jaji MkuuUnahusianishaje kufungwa kwa huyo Mwenyekiti na uwepo wa Mbowe huko?Au unataka kusema mahakama imetoa hukumu hiyo kumuoneshea Mbowe?
Nimesema watatu...yuko StockholmSlaa ameenda wapi?
..amefanya kosa gani?
Na wewe utakwenda tu hata ufanyeje.View attachment 1803761View attachment 1803761
Mtoa mada una cha kujifunza juu ya picha hii!??
Watatu hao wameondoka chini ya mwaka 1!
Nyie endeleeni watu wakisema na aliye juu anatoa majibu
Masahihisho kidogo: Ni mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Rorya.
Kosa: Wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2020; alishtakiwa kua alimtusi kada wa CCM. Kesi iliamriwa mwaka huu mwezi wa tatu kama sijakosea mahakama ya mwanzo Shirati na Hakimu alitoa hukumu ya kua mwenyekiti wa Chadema alishinda kesi.
Baadae kada wa ccm alikata rufaa mahakama ya Hakimu mkazi Tarime.
Leo ukumu imetoka na mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Rorya amekutwa na hatia ambapo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini TZS 200,000/. Hivyo amelipa faini na anaendelea na maisha mengine.
Nadhani tujikite kwenye kujenga hoja za msingi. Mwenyezi Mungu ana namna yake ya kuamua na haitaji kuwa na msemaji.View attachment 1803761View attachment 1803761
Mtoa mada una cha kujifunza juu ya picha hii!??
Watatu hao wameondoka chini ya mwaka 1!
Nyie endeleeni watu wakisema na aliye juu anatoa majibu