Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

Mwenyekiti wa Bawacha Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la Chadema leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja.

Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe yuko ziarani mkoani Mara.

Taarifa rasmi itawajia punde.

Kazi Iendelee!
Wekeni jina la huyo hakimu aliyemhukumu bila option nyingine ya adhabu tuanze kumjadili.
Hana uadilifu na huenda ni chawa wa Biswalo
 
Mwenyekiti wa Bawacha Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la Chadema leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja.

Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe yuko ziarani mkoani Mara.

Taarifa rasmi itawajia punde.

Kazi Iendelee!
Ni upuuzi wa Mahakama tu,tutamtoa mbona! Hatujjawahi kushindwa
 
[emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…