Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Nasikia pale lumumba amewekwa kipara kipya amepewa jukumu moja tu akimuona Membe anaingia lumumba ampigie simu Bashiru ili akimbie na form
[emoji1][emoji1][emoji1] Uoga ni umasikini kama unavyotukabili sasa hapa nchini. The game must be fair . Free competition.
 
sidhani kama kuna member mwingine kutoka CCM atachukua fomu baada ya huyu mwamba,kuchukua leo
 
Sina shida Magufuli kuchukua form kugombea uraisi. Nina uhakika atashinda shida yangu ni pale anaposema amelipa madai yote ya wastaafu kwenye mfuko wa PSSSF huku hao watendaji na uwongozi wa PSSSF wakisema sio kweli kwa maana madai ya wastaafu wa ATCL hayajalipwa toka serikalini na uwongozi wa ATCL wanasema ulipaji ni jukumu la serikali kuu.
Raisi Magufuli inabidi aliangalie hili maana huenda anayo elezwa sio uhalisia. Wastaafu kadhaa wa ATCL wamefariki kwa kushindwa kujitibu huku pesa zao halali zikiwa zimeshikwa na PSSSF hata baada ya mahakama kutoa hukuma ya kuwalipa wastaafu wizara UUM iliahidi kulipa na sasa ni miaka zaidi ya mitano hawaja lipa. MAGUFULI WALIPE WAZEE WASTAAFU WA ATCL.
 
Yaani ndiyo unatoka lindo pale lumumba getini, maana nimekuta umepewa shavu la kukaa getini ili ukimuona Membe anaingia hapo kuchukua form umpigie Bashiru ili akimbie na form
Wewe sio bure umerogwa mtani!
 
Sasa mshikaji unapewa shavu kama hilo alafu unaficha! Au hutaki mangi mwenye duka pale kwenu maji matitu ajue kuwa umepata dili asikudai?
Walah leo ni mara ya tatu unarudia hii maji matitu nina hakika ni wewe tu niliyekuona!
 
Back
Top Bottom