Yes Ndugu zetu wa Russia wameonesha njia
Hilo linawzekana kama ndugu zetu wa damu wameweza sisi ni kina nani tushindwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo linawzekana kama ndugu zetu wa damu wameweza sisi ni kina nani tushindwe?
Miaka 60 kwa Tanzania kutawaliwa na watu wa Kariba na mtizamo mmoja Ni mingi sana na inatosha...........
Hawa wakiendelea hivi watu wataanza kutafuta alternatives...........
Na hiyo ndio mbaya zaidi
Yesu amenyakua fomu ya uraisi
Ccm nyie ni unafiki tu unawasumbua mwaka 2010 uliona Kikwete alichokifanya kwa waliotaka kumchalenge? hamjawahi kuwa serious hata kidogo.
Kapaa nayo ChamwinoYesu kainyakuwa form na kupaa nayo mbinguni?
Kapaa nayo Chamwino
Tutapambane Lisu awe kinara, ccm walishachoka kitambo sanaWanaishi kwa mazoea ya kuwaona watanzania hatuna kumbukumbu
Magufuli pia alichukuwa fomu 2015Watachukua 2025, kwa kukumbusha membe na January walichukua form 2015.
Yes Ndugu zetu wa Russia wameonesha njia
Siyo Burundi na Rwanda na Uganda?
Hao ni 'Wenzetu', ila Russia na China ni ndugu zetu
Pohamba bwana yaani hata bila aibu unajilinganisha na Russia [emoji635]?
China ni ndugu zetu kwenye raslimali Mali zetu.Hao ni 'Wenzetu', ila Russia na China ni ndugu zetu
Sie tulikuwa Vibaraka wa Russia wakati wa Mwl Nyerere tukatumika sana kupiganisha Vita Mozambique, Angola na kwingineko kwa kisingizo cha Ukombozi na hapo ndipo tulipochanjia Undugu
Hii kazi ni ngumu akupaswa kuchukua fom labda tu Kama akumaanisha
sawa comrade Pohamba, lkn Burundi [emoji1060], Rwanda[emoji1206] na Uganda[emoji1254] ndiyo ndugu zetu wa damu hivyo kuwaiga ni wajibu wetu pia
KisanduMwingine nani kachukua?
Anaanzajeanzaje?Hivi Dr Shein kwanini na yeye asichukue fom ya urais wa JMT
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dadek zakoNasikia fomu yenyewe ilikuwa ni hiyo hiyo tu.