Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Huo ndiyo ukweli maana hakuna nchi iliyo anzishwa na mivutano na mikwaruzano ya wenyewe kwa wenyewe
Miaka 60 kwa Tanzania kutawaliwa na watu wa Kariba na mtizamo mmoja Ni mingi sana na inatosha...........

Hawa wakiendelea hivi watu wataanza kutafuta alternatives...........

Na hiyo ndio mbaya zaidi
 
Wanaishi kwa mazoea ya kuwaona watanzania hatuna kumbukumbu
Ccm nyie ni unafiki tu unawasumbua mwaka 2010 uliona Kikwete alichokifanya kwa waliotaka kumchalenge? hamjawahi kuwa serious hata kidogo.
 
Sie tulikuwa Vibaraka wa Russia wakati wa Mwl Nyerere tukatumika sana kupiganisha Vita Mozambique, Angola na kwingineko kwa kisingizo cha Ukombozi na hapo ndipo tulipochanjia Undugu
Pohamba bwana yaani hata bila aibu unajilinganisha na Russia [emoji635]?
 
sawa comrade Pohamba, lkn Burundi [emoji1060], Rwanda[emoji1206] na Uganda[emoji1254] ndiyo ndugu zetu wa damu hivyo kuwaiga ni wajibu wetu pia
Sie tulikuwa Vibaraka wa Russia wakati wa Mwl Nyerere tukatumika sana kupiganisha Vita Mozambique, Angola na kwingineko kwa kisingizo cha Ukombozi na hapo ndipo tulipochanjia Undugu
 
Hao wao ndio watuige, kuanzia vita ya Corona na mengineyo
sawa comrade Pohamba, lkn Burundi [emoji1060], Rwanda[emoji1206] na Uganda[emoji1254] ndiyo ndugu zetu wa damu hivyo kuwaiga ni wajibu wetu pia
 
Back
Top Bottom